Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.
Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza...
Unapozungumzia watangazaji bora wa michezo hivi sasa nchini hutaacha hata kidogo kulitaja jina la Shafii Dauda wa clouds fm.
Ni mtangazaji makini, ametulia, yuko composed and he knows all there...
Kiukweli nakereka sana kwa namna soka la TZ linavyovurugwa na washenzi wachache wanaojitia wanajua soka, uswahili wa masoud na manara ni tatizo kwa soka letu ni watu wapuuzi mnoo hawafai kabisa...
Nimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm...
Hakuna kitu kimenikeraa Kama haji manara kuanza kuomba msamaha Mara tatu tatu kwenye mitandao ya kijamii kisa Simba kufungwa Goli mojaa!?? Ni Ujingaa na upuuzi kuwa Mtumwa wa Hisia za mashabiki...
“ Baada ya Ukame wa muda mrefu wa kutofikishwa Kileleni hatimaye Mbao FC amefikishwa Kileleni vizuri sana na Simba SC “.
Kuna Mtu mpaka muda huu nimeshamuacha ameenda ‘ Kutibiwa ‘ Meno yake ya...
Hivi haya yote yanawezekanaje..
1. Kichuya nayemfahamu mimi, ambaye tukiona anaenda kupiga kona, tunaanza kushangilia goli.. Siku hiyo anapata nafasi zaidi ya 7, zote anapaisha kweli? Hapana.
2...
Mfano,TV ya Azam inaonesha penalty ya Mbao imepigwa 26:18. Hiyo inahesabika ni dakika ya 27 (27')
Namba unayoiona unaongeza 1
Nyinyi mmeandika 26'.
Pia nimeona kwenye magoli mengi tu muda wa...
Unapozungumzia watangazaji bora wa michezo hivi sasa nchini hutaacha hata kidogo kulitaja jina la Shafii Dauda wa clouds fm.
Ni mtangazaji makini, ametulia, yuko composed and he knows all there...
Nachukua nafasi hii kuushangaa sana uongozi wa Klabu ya Simba kuwa ndio chanzo cha timu kufanya vibaya.Klabu ya Simba ilisajili makocha wawili yaani kocha mkuu na msaidizi iweje leo timu iwe...
"Bodi ya Wakurugenzi, Sekretarieti, Benchi la Ufundi na wachezaji wa klabu ya Simba, wanawaomba radhi Wanachama na Washabiki wetu kwa matokeo ya leo (Jana).
Tumeumia sote na tunawaomba mjue hii...
Wadau wa Biashara United.. Watani Zangu...
Mzalendo39 kapalamsenga chuma cha reli theriogenology mmteule LABANI BARAKA Antonio de Guzman Dunamist Mtile shiu yang kuku mweus -KANA- Dukeson Molembe...
Mm nilifikiri malalamiko yangeelekezwa Kwa Mou ambaye anampanga Lukaku (90 minutes).... Au mlitaka lukaku ajitoe uwanjani yy mwenyewe?
Kuna kipindi Lukaku aliumia na wote humu tuliona pengo lake...
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa
namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima
Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna...
TFF imehairisha mechi ya Simba na Biashara iliyopangwa kuchezwa tarehe 27 September,pamoja na mechi ya Yanga na JKT Tanzania.Kutokana na klabu ya Simba kuandika barua kuomba mechi yao na Biashara...
Our Game is Fair play!
Nilistaajabu sana Jana nilipokuwa naangalia mchezo kati ya timu ya Mbao FC dhidi ya Simba SC. Wakati Wa mapumziko wachezaji wakiwa wanaingia kwenye vyumba vya kupumzikia...
Ukiwa kocha wa kimataifa ukapata kibarua cha kuzinoa timu hizo,wakati unamuaga mkeo na familia usiwaambie umepata kazi.Bali waambie nimepata kimpango cha kwenda kusimamia vyoo viwili vya soka...
Hii tabia watani zangu inazidi kukua kila kukicha…
Matokeo ya kufungwa yanamstahili nani pekee? Ulienda uwanjani kucheza na mbao ukiwa na matokeo mfukoni?
Umepigwa goli kwenye lile tundu...
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya...
Yesterday I saw many fans of simba Sports Club lamenting and blaming the head coach about the results against Mbao FC. It's not pleasant to blame the head coach that he is the causative of team...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.