Leo tutajifunza kwa njia video utaitazama hapa
Mahitaji
Url ya jezi husika
Muunganiko wa data
Pakua hapa jezi mbalimbali hapa
Tumia telegram kupakua hizo jezi
Orodha hii imepangwa kutokana na kiasi cha fedha (net worth) anachomiliki owner wa timu.. Na anaanza owner mwenye mkwanja mrefu.
1.
Jina La Mmiliki: Patrice Motsepe
Jina La Timu: Mamelodi Sundowns...
imeandikwa na Nasri Van Man Utd
Akiwa na umri wa miaka 18 ,Paul kijana mwenye kipaji asili cha mpira alianza kuwa gumzo kwenye mitaa ya Carrington , kama alivyowahi kusema mwanafalsafa mmoja kuwa...
1} Uwanja
÷ Urefu mita 100-120
Upana mita 50-60
Mduara wa katikani nusu kipenyo 9.15
2} Mpira
Huwa na kipenyo cha Sm 68 -70
Uzito wa grm 410-450
Ujazo 1.1-1.6
3} Idadi ya Wachezaji
11 kwa kila...
Tanzania tulitakiwa kumpa zawadi kubwa Mwakinyo kwa kitendo cha kumpiga mkoloni. Kibanga mwenye asili ya Tanga pia alifanya hivyo huko nyuma tukampa zawadi ya kusomwa kwenye vitabu vya shule za...
KITENGE Naam jina ambalo kuanzia siku ya Jana,hadi Leo linaendelea kushika kasi kwenye viunga vya jiji hili na Tanzania nzima,
Kijana ana uwezo ana mbinu yaani ana vitu flani hivi,hasa goli lake...
Swali: Ni timu gani ya mpira wa miguu iliyowahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa kushinda mechi zote?
[i.e., yenyewe ilikua inashinda tu, haikuwa kupata sare wala kufungwa]
Jibu...
Timu ya Manchester United inapofungwa huwa napata raha sana na naiombea ifungwe hivo hvo ili nizidi kufurahi.
Je wewe ni timu gani inakupa furaha wakifungwa???
Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster
Plans are afoot for Floyd Mayweather to include Tanzania’s Hassan Mwakinyo in the list of boxers who box under his promotional company, The...
Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha...
Kwa kipigo ambacho tunataka kumpa ' Mtu ' wiki mbili zijazo Uwanja wa Taifa kwa sasa katika Kamati yetu binafsi ya Ulozi / Urogaji tunahitaji Watu zaidi kwakuwa mkakati wa ' Kuroga ' sasa...
Msimu huu wa 2018/19 TFF wamesema mwenyeji ndio atasimamia mapato na mapato yote yatakuwa ya mwenyeji baada ya makato makato. Swali kama Simba ndio wenyeji kuamua kiingilio cha Mechi zao ni...
Wakulu haya tena leo EPL ndio inaanza sasa nimeona nianzishe special thread ya The Magpies or The Toon na keshokutwa Jumatatu vijana wanaanzia kule old Trafford dhidi ya Manchester United...
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni mkaubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya...
Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.