Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Najiuliza tu kabla sijatoa mabilioni yangu kwa Yanga. hivi nawezaje kunufaika nikimiliki moja kati ya Timu hizi kubwa nchini moja kwa moja yaani timu iwe yangu au kwa hisa kama alivyo MO. Kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenye ujuzi na tennis naomba muongozo nikabet hukoo.[emoji6]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kocha Mkuu wa Ndanda, Ndugu Malale 50 ameapa Jumamosi anaenda kufuta uteja dhidi ya Simba SC. Namnukuu.. "Jumamosi tunaenda na mfumo wa 4-2-3-1 ambao naamini utaweza kuwamaliza haraka Simba"...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Kabla ya kuanza kwa kipindi cha michezo kila siku saa mbili asubuhi kuna matangazo ya awali yanayoanza na haya matangazo yana maudhui yanayoashiria kudhalilisha na hayafai kabisa kutangazwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
The following is the FIFA shortlist for 2018 Ballon d'Or Award Mohamed Salah Luka Modric Cristiano Ronaldo. 1. Mohamed Salah Netted 44 goals in all competitions for Liverpool last season, Helped...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tbc1 ni kwanini huwa wakati timu ya taifa (taifa stars) inacheza inashindwa kuonyesha live mechi zake nashangaa nchi zote zinazo tuzunguka huwa timu yao ya taifa ikicheza lazima television ya...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
ODDS KAMILI - JamiiForums ODDS KAMILI Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
530 Views
Kwanza Mimi ni Yanga... Ila nikiangalia maelezo haya Kutoka app ya Mwana jangwani naona kabisa hawa Jamaa Kuna tatizo mahala... Ratiba ya Yanga ya michezo ya ligi kuu ya Tanzania Bara kwa miezi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
TFF tunawaangalia tu.. Narudia tena TFF tunawaangalia tu.. Haingii akilini kabisa, Eti; 1. Tumecheza na AFC Leopards, mnaanza kumaindi kua tumecheza mechi bila kufuata taratibu. Hizo taratibu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuelekea 30/09/2018, ambapo Bingwa mtetezi wa TPL, Simba SC atapambana na Ndala katika dimba la Taifa Stadium. Hii itakua ni mara ya kwanza kwa timu hizi kukutana katika msimu huu, na hii ni baada...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Meneja wa Simba Robert Richard amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka na faini ya Tsh milioni 4, Robert amekutwa na makosa mawili kuihujumu timu ya taifa kwa kutotii maagizo ya...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
UEFA NATIONS LEAGUE DRAW League A Group 1: Germany, France, Netherlands Group 2: Belgium, Iceland, Switzerland Group 3: Italy, Poland, Portugal Group 4: Croatia, England, Spain League B...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Kila mtu alishangaa timu kwa mara ya Kwanza inafunga MTU goli 4 baada ya mfululizo wa sare, goli moja mwisho 2 tena Kwa taaabu sana. Kumbe kuna namna! Kila mtu alishangaa inakuwaje siku stars...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuelekea mtanange wetu dhidi ya Ndada FC, huko Nangwanda Sijaona 15/09/2018 (Jumamosi ya wiki hii).. Hebu tuangalie mbili tatu za Simba SC katika kipindi hiki cha International Break. Kipindi hiki...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mchezaji wa Saint-Etienne auawa kwa risasi na watu wasiojulikana Aliyekuwa beki wa klabu ya Saint-Etienne inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1, William Gomis amefariki dunia usiku wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu jamaa nilikuwa simfahamu. Mara paap, namuona SkySports akimtwanga mzungu kwa dakika mbili. Sam Eggington was on the end of a devastating defeat in Birmingham as he was stopped by Hassan...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Good morning ladies and gentlemen! Welcome to a guide towards the UEFA Champions League Final to kick off on 6th June 2015 at Olympiastadion Berlin. In this thread we are going to discuss all the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi"...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Adhabu aliyopewa Meneja wa Simba kuhusiana na wachezaji wa Simba kuchelewa kuripoti Taifa Stars ni uonevu na ni kubwa sana. Kufungiwa mwaka mwaka mmoja pamoja na kulipa faini ya sh milioni 4 ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Bao pekee la Yanga limewekwa kimiani na Yusuph Mhilu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom