Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga imechapwa bao 1-0 na Rayon Sports katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. USM Alger na Rayon Sports zimefuzu robo fainali ya michuano hiyo huku Yanga SC na Gormahia wakiondoshwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Ni ukweli usiopingika huyu jamaa (makambo) ni mchezaji mzuri sana, naiona yanga bora iliyosajili kwa akili kubwa sana hasa kuongezeka kwa makambo, feisali, ngassa, kaseke na kindoki, hakika hawa...
13 Reactions
50 Replies
44K Views
Tuchangie Yatima Tuchangie wajane Tuchangie watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu Tuchangie walemavu. Harafu tuwachangie na Yanga ? Hebu acheni ujinga nyinyi Ynga aisee. Hamuoni aibu kabisa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila Thread ina watu wake maarufu maarufu na wale watembezi kutoka thread nyingine kwenda kuwazodoa wenzao au kutoa pongezi, pole na utani wa hapa na pale kama ilivyo Ada ya michezo hasa Mpira wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
TFF yawaondoa wachezaji wa Simba ndani ya ‘Taifa Stars’, viongozi wao kupelekwa kwa pilato  702 Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limewaengua katika kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Style ya kushangilia ya mshambuliaji hatari Afrika Mashariki na Kati Meddie Kagere MK 14 imekuwa gumza ndani na nje ya Tanzania. Akiulizwa na mwanahabari maan a ya kuminya jicho moja Kagere...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
MAREKANI: Makamu Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia(FIFA), Juan Angel Napout amehukumiwa kifungo cha miaka 9 jela baada ya kukutwa na hatia ya kosa la kupokea rushwa Katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati anauzwa kwenda kujiunga na Juventus mwaka 2012 wengi walisikitika sana. Walisikitika kumuona kijana mweusi mwenye kipaji kikubwa akiondoka kwa sababu rahisi. Wakati ule Pogba alitoa sababu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna tetesi nimezisikia kwenye vijiwe kuwa kocha msaidizi wa Simba Mrundi Masoud Djuma Mkataba wake umesitishwa, mdau mwenye taarifa zaidi atiririke. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Msaada nmepakua app ya mobdro naweza kuchek mechi ya utd vs spurs Leo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika mechi mbili za mwanzo za msimu huu wa 2018/2019 za Arsenal kuna kijana wa Unai Emery alinivutia sana…Anaitwa Matteo Guendouzi…Kijana mdogo wa miaka 19 kutoka timu ya league 2 ya Lorient...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hivi! Wakati Pep Gurdiola anajiunga na Manchester City watu waliamini mtu pekee ambaye anaweza kuwa mshindani wake ni Jose Mourinho kutokana na historia baina ya watu hao wawili. Lakini baadae...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Yaani unacheza nyumbani then unajaza viungo winga yaani unacheza soka la kane ya kale kwa kweli Manchester United mtapata tabu sana.......kwa style hii Sent using Jamii Forums mobile app pkease...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamati ya Maadili iliyokutana Jumamosi Agosti 25,2018 Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imemfungia kutojishughulisha na soka Mbasha Matutu. Matutu ambaye ni Msimamizi wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kuna mdau yeyote wa soka aliyebahatika kumsikia huyu jamaa katika kipindi cha mchezo redio Clouds bila shaka atakubaliana nami kama jamaa ana kipaji cha kuongea na kama mpira ungekuwa...
8 Reactions
36 Replies
16K Views
Tangu asajiliwe kutoka klabu ya Lile ya Nchini ya Ufaransa kujiunga na Chelsea msimu wa 2012/13 Eden Hazard amekuwa mchezaji bora sana. Pamoja na kutoka klabu ya kawaida kwenye ligi ya daraja la...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Chelsea leo tunashuka Dimbani kupambana na Newcastle ushindi ni lazima. Nachojiuliza ni kwamba kati ya PEDRO na WILLIAN nani aanze na nani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana tena,Mshambuliaji machachari wa Genk kutoka Tanzania,ameisaidia timu yake kushinda zidi ya timu ya Waasland bao 3-2,Genk walikuwa nyuma ya bao moja kabla Mbwana Samata hajafunga Goal lake...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Sasa hivi kuna kuna namba inatembea kwenye vyombo vya habari kuwa wanaomba kuchangiwa Haya ni maajabu mengine kwa club Kongwe kutembeza bakuli la omba omba Hivi club Kongwe Afrika mashariki na...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Back
Top Bottom