Nini kimewakuta Man.
Hakuna asieona kama weekend Man u walikutana na Beki bora iliowasumbua sana mashetani hao wekundu kwenye uwanja wa Amex stadium.
Kuna mambo kadhaa yakuojili leo lakini...
Jerry muro kusikia neno Banka limemchanganya alidhani sijui yule kiungo wa zamani wa yanga na simba Mohammed Banka
Ndugu Jerry Muro huyu ni Mohammed issa "Banka" mzenji aliye perform vizuri...
HABARI wanajanvi ningependa kuchkua nafasi hii kumshukuru mola kwa kutujalia uzima, Ningependa kujua watu ambao wanauza Fixed match au mikeka ya ujakika ambao ni wakwel maana nimekutana na watu...
Wanaspoti nawasalimu!
Jana nimeangalia kwa makini mechi ya pili ya Ligi kuu nchini Uingereza kati ya BHA na Manchester United ambapo Manchester ilipoteza mchezo kwa magoli mawili kwa matatu...
Jamani ndugu zanguni!! Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...
Na hiki ndio kikosi ambacho bwana Sampaoli atakuwa amekiandaa kwenda kumaliza kazi nchini Urusi...
Naangalia game live hapa juve na Chievo nadhani atazikumbuka cross za madrid.
Huku hamna,kila mtu anafunga mwenyewe mpaka sasa 2 - 2 hajafunga wala kutoa assist. Ila rafu moja afanyiwa nje ya box...
Ni wao pekee ambao hawana desturi ya kufungwa Hovyo japo kwa nadra hutokea wakafungwa..
Daima ukiwa unaangalia game yao ni raha tupu ni kama wachezaji wa playstation, kuanzia umiliki wa mpira...
Nimewatazama Arsenal wanavyo cheza ..Wana timu nzuri sana.. Wenger was just wasting our mbalimfalme time...
Unaona kabisa timu INA mipango ..Enzi za Wenger mkishapigwa goli mbili ndo game imeisha...
Timu ya soka ya Wanaume ya Ufaransa imefanikiwa kushika namba moja katika orodha ya timu bora za Dunia iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka la Dunia(FIFA)
Ufaransa imefanikiwa kushika nafasi...
ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA...
Wadau mimi kwa upande wangu naona SARRI kazingua kwa nini amuanzishe HAZARD Bench.
Wewe hunaonaje hila Chelsea leo ushindi Lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
ENGLAND: Akiwa na miaka 27 tu, winga raia wa Nigeria, Victor Moses atangaza kutundika daluga la kuichezea timu ya taifa hilo.
Moses amehitimisha muda wa miaka 6 alioitumikia timu hiyo toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.