Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kocha mkuu mpya wa Taifa Stars Born : December 25,1970 ( Nigeria ) Playing Position : Winger Amechezea timu ya Taifa lake Nigeria 1993-2001. Baadhi ya vilabu ambavyo alishawahi kuchezea...
4 Reactions
26 Replies
7K Views
MTAZAMO WANGU KATIKA LIGI KUU UINGEREZA MSIMU HUU Ligi kuu ya uingereza inazidi kua bora kila mwaka. Vilabu vina wekeza pesa nyingi kupata wachezaji wazuri pamoja na benchi la ufundi bora ili...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Yaani simba wamepoteza pesa kwenda uturuki wameishia kufanya mazoezi Gym kwa kuwa uturuki kulikuwa na mvua kubwa sana na wakabahatika kucheza mechi na timu ya umoja wa madereva taksi wenye asili...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Haya Wanasimba - mechi hiyo imeshaanza- tujuzane yanayoendelea.
0 Reactions
156 Replies
19K Views
Naomba muwe mnaandaa mechi ya mshindi wa Ndondo Cup na Bingwa wa premier au Azam Cup!!! Hakika kuna mengi ya kunufaika kutokana na hili. Ahsanteni sana.
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Billionea Stan Kroenke mwenye hisa nyingi za umiliki wa klabu ya Arsenal, ametoa ofa ya paundi milioni 600 zaidi ya shilingi trilioni 1.7 kwaajili ya kuinunua Arsenal ambayo anaimiliki kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya, jana tumeshuhudia kiwango bora kabisa cha timu ya Liverpool ikiitafuna man city bao 3 kwa nunge, hebu tuchangie maoni yetu, Liverpool ikikutana...
2 Reactions
118 Replies
14K Views
Naona kama kapewa jezi kubwa kuliko uwezo wake? Kwanza Rashford hana uwezo,ni overrated sana.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wana michezo pigeni kura mwenye kura nyingi ndo mshindi Kati ya makocha wafuatao kwenye top six EPL msimu huu kwa maoni yako unahisi nani atakuwa wa Kwanza kutupiwa virago 1. Mourinho (Man Utd)...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wote walikuja na kupokelewa na ummati ya wana-yanga na wote waliondoka kwa mbwembwe na mizengwe na kujifanya wamesahau yale mapokezi ya kirafiki, upendo na udugu waliyopewa na mashabiki wa Yanga...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Club ya Livante inayokipiga kwenye ligi ya uhispalia (laliga) inaiwinda kwa udi na uvumba signature ya Mbwana Samata. https://t.co/6zUXyw3dP1:" „Exot“ aus Tansania | Levante...
5 Reactions
59 Replies
15K Views
Mabingwa wa nchi ya Tanzania Simba Sports Club leo Agosti 4, 2018 imechapa bila huruma F.C.E. Ksaifa mabao 3-1 katika mchezo safi wa kirafiki uliofanyika kwenye dimba la Kartepe Green Park. Simba...
6 Reactions
55 Replies
8K Views
Ongezeni uwazi Kwa kusema kiasi kinachohitajika na mchanganuo wake. Kisha mtoe taarifa za mapato na matumizi kwenye magazeti ya umma. Hii itasaidia kuondoa dhana ya upigaji clabuni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naodha wa muda mrefu wa Klabu ya Yanga SC, Nadir Haroub Ali(Cannavaro) amestaafu soka na kuteuliwa kuwa Meneja wa timu akichukua nafasi ya Hafidh Saleh ambaye sasa anakuwa Mratibu wa timu...
2 Reactions
15 Replies
7K Views
Mkuu was Wilaya mpya na ambaye amewahi kuwa msemaji was klabu ya Yanga Jerry Muro, ameiombea timu take msaada was TZS 100,000,000. Je wadau mnaona iko sawa hiyo. JERRY AWAOMBEA YANGA MILIONI 100...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa kosi hili tunawataka barcelona hata kesho[emoji23]
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Klabu ya soka ya Coastal Union imetanganza kumsajili Mwanamuziki wa bongo fleva, Ali Saleh Kiba maarufu Ali Kiba kama mchezaji wao mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja Meneja wa timu hiyo, Said Hilary...
7 Reactions
70 Replies
16K Views
Top Kenyan celebrities are known to flaunt their "state of the art cars" whenever the opportunity arises and this time round, Maina Kageni, the popular morning show host was seen spotting a Jaguar...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wonders shall never end, sasa ndugu zetu Simba si bira mngeweka kambi jangwani tu kama uwanja wenyewe mliousafiria mpaka Uturuki ndio huu?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom