Juventus wametangaza tickets za msimu ujao zote zimenunuliwa (SOLD OUT) kufuatia kutua kwa Cristiano ronaldo klabuni hapo licha ya bei za tickets kupanda kwa asilimia 37% lakini zimemalizika ndani...
Over the Weekend,timu ya soka ya ufaransa imetrend kwa kuchukuwa kombe la dunia baada ya miaka 20 kupita,walivyofanya hivyo mnamo mwaka 1998..
Waafrika wengi wamekuwa mstari wa mbele kuiaminisha...
habari wanayanga wote.
huu ujumbe nitashukuru sana tukiutoa kwa pamoja kwa kuweka maoni yetu kwa timu yetu pendwa..
najua wengi tunaona yanayotokea kwa timu yetu.. mishahara ya wachezaji...
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga Clement Sanga, hatimaye amejiuzulu nafasi yake baada ya baadhi ya wanachama na mashabiki kuhamasishana kwa nia ya kutaka kwenda nyumbani kwake na...
Giấc mơ con đèo và những con số
Những giấc mơ thấy con đường thường phản ánh lên vận mệnh công việc của chính chủ nhân nó. Là một trong những loại giấc mơ mang hàm nghĩa sâu xa, để hiểu rõ bản...
wakuu habari za wikiendi, hongeren na polen kwa harakati za maisha hapa na pale.
yeyote anayejua utaratibu wa kujisajiri, zawadi kwa washindi na lolote kuhusu kuhusu bagamoyo marathon.
naomba...
RAIS wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ameitaka klabu ya simba kufanya uchaguzi wao ndani ya siku 75.
Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya...
Ni timu yangu, lakini kama litatembezwa bakuli siwezi kuchangia,
Labda kama ni kumchangia Tshishimbi pekee ambaye alionesha moyo
wa Kupambana. Kwa yeyote aliyefuatilia pambano lile atakubaliana na...
Kylian Mbappe ni kijana mwenye umri wa miaka 19 ambaye ameweza kuibeba Ufaransa mpaka kushinda kombe la dunia ambapo aliweza kufunga magoli 4.
Mbappe aliweza kuisaidia timu yake hiyo kwa...
Wachezaji wa Yanga wamegomea mazoezi ya leo Ijumaa, huku benchi la Ufundi wakibaki na mshangao kwenye Uwanja wa Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na MCL Digital, Meneja wa Yanga...
Mfanyabiashara maarufu Tanzania, Mohammed Dewji 'MO' ameguswa na hali ya sintofahamu inayoendelea kwenye klabu ya Yanga na kuwaombea waweze kupita katika kipindi hicho kigumu kwao huku akiwataka...
Huyu jamaa unaambiwa kuna hata baadhi ya viongozi wa fifa wapo mfukoni, Madrid walishapewa ofa wakubali ule uwanja uhamishwe pale katikati ya mji wajengewe viwanja viwili vya hadhi ya juu akagoma...
Viongozi wa Yanga chini ya Kaimu Mwenyekiti Clement Sanga leo (July 22, 2018) unakutana na wachezaji (makao makuu ya Yanga) kwa ajili ya mazungumzo juu ya madai ya baadhi ya wachezaji kabla ya...
Afrika iliishindia Ufaransa kombe la Dunia, na Ulaya inafaa kusitisha ubaguzi dhidi ya wahamiaji kulingana na rais wa Venezuela Nicolas Maduro.
Akizungumza katika mji mkuu wa Caracas, chombo cha...
FIFA World Cup 2018 Special Logo
The 2018 FIFA World Cup will be the 21st FIFA World Cup, a quadrennial international football tournament contested by the men's national teams of the member...
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limemteua beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania Boniface Pawasa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka la ufukweni ambapo kibarua chake cha kwanza...
Afisa habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten naye ameamua kujiuzulu nafasi yake ndani ya Yanga, Ten ameandika barua kwenda kwa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo akidai kwamba ameamua kujiuzulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.