In July 2017, Bancé signed a two-year contract with Egyptian Premier League side Al-Masry and went further to score 15 goals in his first 6 matches for the club which include a brace on his debut...
Maandiko matakatifu yameandika kwamba " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " , Vilabu vya Simba na Yanga vina utitiri wa wanachama ambao pamoja na wingi wao tena wakiwa na akili timamu ...
BAADA ya Taarifa kusambaa kwamba Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameandika barua ya kujiuluzu nafasi yake ndani ya timu hiyo, kiongozi huyo ameibuka na kukanusha habari hizo zinazosambaa kwenye...
Kwa kinachoendelea pale jangwani ni wazi hali ni tete, sote tunajua hali ya upepo kila kukicha inazidi kuharibika mifuko inazidi kukauka. Wafadhiri wakubwa pamoja na mapedejee hali zao ki uchumi...
NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG ya Ufaransa pia, Kylian Mbappe, aliwahi kukataliwa kuchezea timu ya Cameroon ambapo baba yake alitakiwa...
Bingwa mara nane wa Olimpiki Usain Bolt ameanza mazungumzo ya majaribio ya kusakata soka nchini Australia , klabu moja imesema.
Mwanariadha huyo wa jamaica , 31, anafanya mazungumzo ya kiusaini...
Siku ukiona watu hawapendi vya kwao na wa kwao bila sababu ya msingi basi fahamu kuwa uzalendo hakuna.
Hebu ona sasa hivi timu zinatafuta makocha kutoka Burundi, Rwanda, Malawi, Congo, Malawi...
hirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 2018.
Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Boniface Wambura...
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Klabu ya Simba 'Wekundu wa Msimbazi' ya jijini Dar es salaam, leo imemtambulisha rasmi kocha mpya Mbelgiji Patrick Aussems, ambaye anatarajia kuifundisha klabu hiyo...
Timu ya soka ya Yanga ya Tanzania imeendelea kufanya vibaya katika mechi za makundi kugombea kombe la Shirikisho la Afrika baada ya kutandikwa kwa magoli manne kwa bila dhidi ya wenyeji wao Gor...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 2018.
Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Boniface Wambura...
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, wakati France wanashangilia na kombe uwanjani jana, Steven N'zonzi ilibidi awaombe baadhi ya wachezaji wa France wamuachie N'Golo Kante nae alishike kombe hilo kwa...
Wanasemaga La liga ni ligi mbovu inapendelewa lakini kwanini kila siku either timu zake au wachezaji wa ligi hiyo wanachukua tuzo kubwa zote za maana katika mpira wa miguu!.
Nadhani sote ni...
Uongozi wa Azam Media kupitia Mkurugenzi wake, Tido Mhando, umeibuka na kukanusha taarifa zilizoelezwa na Rutunga M kuwa hawatoonesha mechi za Ligi Kuu Bara msimu ujao.
Mhando amefunguka na...
Wa Nigeria kadhaa wamekwama Jijini Moscow tangu Final za world cup kwisha siku ya Jumapili.
Wa Nigeria hao wameonekana kuzagaa katika Ofisi za ubalozi wao ulioko Jijini Moscow na wengine kadhaa...
Taarifa zilizotangazwa jana katika kikao cha ndani ya management hasa kitengo cha sports ni kuwa Azam haitarusha mechi hata moja ya ligi kuu baada ya Vodacom kutoendelea na udhamini kisha...
Imeripotiwa tayar Real Madrid wapo kwenye mchakato wa kunasa sain ya mchezaji nyota wa Chelsea Eden Hazard na tayar zimetengwa €150 kwa ajili ya kuhakikisha wananasa sain ya mchezaji huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.