Former Arsenal right-back and Ivory Coast international, Emmanuel Eboue was arrested on suspicion of Arson in Enfield.
A statement published by the Metropolitan Police read: 'Police investigating...
UFARANSA VS UBELGIJI: Watoto wa wazamiaji waliotoka Afrika
Mwishoni mwa miaka ya 1970 na miaka ya 1980, Waafrika wengi walikimbilia Ulaya kutafuta maisha kwa kile walichodai hali ngumu.
Wapo...
This week kabla haijaisha basi kutakuwa na habari njema na mbaya kwa wapenzi wa Soka wa Real Madrid kuhusu Goal Mashine CRISTIANO RONALDO atajiunga na Mabibi kizee wa TURIN JUVENTUS
Mashindano makubwa kabisa duniani kwenye mchezo wa tennis Wimbledon imefika patamu, ni hatua ya quarter final huku wakali kama Rafael Nadal, Novak Djokovic wote wakitinga hatua ya robo fainali...
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamemleta kimyakimya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Mfaransa Pierre Lechantre.
Kocha Aussems aliyewahi kuzinoa timu kadhaa...
Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Barcelona, Luis Enrique apewa kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Uhispania
Enrique anachukua mikoba ya Fernando Hierro aliyebwaga manyanga baada ya taifa hilo kuboronga...
Hakika Kombe Hili limekua Gumu Kutabiri Mpaka Huyu Mtabiri Aliyefikiriwa Kutabiri Mechi Ameshindwa Kabisa, tofauti na yule pweza waujerumani kipindi kile
Na hata ukimtazama usoni paka huyu...
Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini...
Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia.
Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi...
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele
Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua...
Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa...
Players from EPL who are still playing in the World Cup in Russia.
Manchester united
1. Lingard
2. Rashford
3. Young
4. Jones
5. Linderlof
6. Pogba
7. Lukaku
8. Fellaini
Tottenham
1. Kane
2...
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Africa(CAF) imewapa Marefa 11 adhabu tofauti kutokana na Makosa mbalimbali waliyoyafanya
Refa Msaidizi kutoka Kenya, Marwa Range...
Kuna tetesi zinasambaa kuwa mtangazaji maarufu kama kocha mchezaji anawabania wenzake wasitangaze mechi za kombe la dunia kwa kiswahili huko south afrika.
Ikumbukwe takribani watangazaji sita wa...
Wana Mara njooni tukumbushane wachezaji wanaotokea mkoani kwetu
Mimi naanza na hawa
¹ Mohammed bakari Tall (Simba Sc na Taifa Stars)
2 Amir Kiemba (Simba na Taifa Stars)
3 George Masatu Magere...
Nakumbuka mwaka 1998 France wanachukua kombe la dunia Niko darasa la tatu Mdogo sana ila nafuatilia mpira hatari !
Nakumbuka Kwenye fainali hiyo hiyo zinedine zidane (zizou) anafunga goli Kali...
Tukubaliane tu roho safi...
ile kitu imekosekana kwa hii FIFA World Cup ......
ni #vuvuzela na theme song ya maana...
sisi kama #TeamFrance tumesema!!!!
Tanzania inawakilishwa na #Ufaransa
Kesi imefunguliwa kumshtaki rais wa zaman wa Barcelona Sandro Rossell aliyemsaidia Eric Abidal kujipatia kiungo cha ini kimagumashi mwaka 2012. Abidal alikuwa anahitaji kipande cha ini kwa ajili...
Wahuni sio watu wa mchezo mchezo
Wananchi wameombwa utulivu juzi usiku baada ya wachezaji wawili waliokosa penati dhidi ya Uingereza kudhalilishwa na kutishiwa na mashabiki wenye hasira kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.