Wakuu
Nimetokea kuvutiwa na mchezo wa basketball hasa ligi ya NBA.Hii imetokana na kushuhudia ubishi wa Stephen Curry na Lebron James ikapelekea kutafuta clips zao.
Nimevutiwa sana,ombi langu ni...
Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Yanga umewaandikia barua TFF kuwaomba kujitoa katika mashindano ya Kagame CUP yanayotarajiwa kuanza June 28 mpaka Julai 13 2018 jijini Dar es Salaam...
Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule.
Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya...
Washabiki wa soka wa Ujerumani, wamekuwa na kumbukumbu mbaya za hivi karibuni juu ya madhila ya wachezaji wa Timu hiyo: kuumia, kuachwa ama kupewa kadi uwanjani; hali ambayo imekuwa ikiwaweka...
Mara nyingi mechi za watani huwa zinapata attention kubwa. Kwa jinsi Sportpesa super cup ilivyopanga ratiba yake katika michuano inayoendelea Kenya ilionekana wazi walipanga nusu fainali iwe Simba...
Nianze kwa kusema tu kwamba nimepokea kwa masikitiko makubwa sana ‘ tetesi ‘ ambazo naanza kuziamini kwamba Kocha Mkuu Mfaransa Pierre Lechantre ameondoka Simba SC kutokana na sababu ambazo kwa...
All 32 squads for the World Cup in Russia have been confirmed.
There have been some surprises on the way with numerous top stars left at home, including Manchester City starlet Leroy Sane and...
Yaya Toure
Kuna baadhi ya watu wakizungumza kitu basi lazima dunia isimame na iwasikilize hata kama wanazungumza maneno machache sana. Mmoja wa watu wa aina hiyo ni Yaya Toure ambae ni mchezajj...
Enyi team Neymar, team Ronaldo na bila kusahau team Griezmann,najua wengi wenu mtabishana sana na ukweli ulio wazi na wenye kuonekana dhahiri kuwa Kombe la Dunia la mwaka ujao 2018 nchini Urusi...
Salaam
Jana nilishuhudia mtanange wa nusu fainali ya COSAFA kati ya Zimbabwe na Lesotho ulioshia kwa suluhu hadi filimbi ya mwisho ya dakika za kawaida
Hatua ya matuta golikipa wa Zimbawe...
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu
ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu...
Natumai nyote mliomo humu wazima! Poleni na majukumu!
Ni yupi kati ya hawa wawili ulikuwa unamkubali? Kwanzia Skills, dribling, freekick ,goals n.k.....
Personal information
Full name...
Musonye anafanya mambo kiswahili sana. na inaonekana wazi jinsi ambavyo mara nyingi amekuwa akifanya mashindano haya kibiashara zaidi kuliko kimichezo. na hili jambo limekuwa likigharimu soka letu...
Leo nusu fainal ya sportpesa super cup itaendelea huko Kenya. Simba itakipiga dhidi ya Kakamega homeboys ambayo iliwatoa yanga kwa kipigo cha 3-1. Simba inacheza nusu fainali baada ya kuigaragaza...
Maafisa wa soka akiwemo Mkenya wanaswa wakipokea fedha
Ghana imevunjilia mbali chama cha soka baada ya rais wake kunaswa katika video akionekana akipokea 'zawadi ya pesa'.
Kwesi Nyantakyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.