Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dah 3-1 mwenzenu sina Mengi ndo hivyo hali mbaya kwa baba wa Taifa Yanga jamani,Yanga -------- Klabu ya Yanga kimeondoshwa katika mashindano ya SportPesa Super Cup 2018 kwa kukubali kipigo cha...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Hapa tunaongelea makombe aliyochukua akiwa na kilabu na timu ya taifa. Siongelei idadi ya magoli aliyofunga wala assists. Mi nnachotaka nijue mchezaji aliebeba makombe mengi zaidi kwenye...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga baada ya kusema wakati Manji yupo ndani ya uongozi wa klabu hiyo alikuwa anachangia pesa kama mfadhili, inawezekana swali linalokuja akilini mwako sasa hivi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo michuano ya Sportpesa inaendelea huko Nairobi baada ya timu mbili za Tanzania, Yanga na JKU kuondoshwa hapo jana. Yanga iliyoondoshwa kwa kipigo cha mbwa koko cha goli 3-1 huku JKU ikipata...
2 Reactions
201 Replies
26K Views
sipati Picha ingekuwa bongo hapa star mmoja katemwa timu ya taifa, huyo kocha lazima alogwe[emoji23] [emoji23] .
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Inawezekana ikawa ni majeruhi au timu zao zimeshindwa kufuzu. Naanza na Dani Alves ameumia mguu na hatoweza kushiriki kombe la dunia. Endelea na wewe!
4 Reactions
113 Replies
11K Views
Jezi za Timu ya Taifa ya Nigeria za Kombe la dunia 2018 zimemalizika ndani ya dakika chache tangu kuingizwa sokoni leo hii Ijumaa, (SOLD OUT) Foleni kubwa ya mashabiki ilionekana leo katika duka...
13 Reactions
166 Replies
24K Views
Ukiacha "talisman" Zinedine Zidane, nani mwingine unamkumbuka toka katika picha hii ya mastaa wa Ufaransa waliotwaa ubingwa wa dunia katika ardhi ya nyumbani mwaka 1998. Cc: Guasa Amboni
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kassim Majaliwa‏ Nimepokea hundi ya sh. 10, 000,000/= kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bibi Ineke Bussemaker ukiwa ni mchango wa Benki hiyo kwa timu ya...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Jamani Kiukweli babu alikua fundi wa kutisha pamoja na uchelsea wangu ila namkubali sana. sasa ndo ivyo tena Ferg kaachia ngazi tutashuhudia vichapo mfululizo kwa man u next season na uhaba wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Muslim preacher in Kuwait has said that Egyptian soccer star Mohammed Salah’s injury in the Champions League final on Saturday was a divine punishment. Posting on social media, Mubarak al-Bathali...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Hivi huu udhaifu unaoonyeshwa na team za kitanzania dhidi ya team za Kenya, si hatakama, tunaingia nao vitani, yani vita mapambano ya kijeshi si wanatudunda hawa. Naona kila eneo wa tz tu wanyonge...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
COUNTRY.............GERMANY CONFEDERATION.....UEFA FOUNDED.............1963 No OF TEAMS.........18 CURRENT CHAMPION......BAYERN MUNICH MOST CHAMPIONSHIP BAYERN MUNICH The bundesliga is a...
4 Reactions
752 Replies
42K Views
Haiwezekani kila akipandisha tu Timu Ligi Kuu basi anafukuzwa. Kaipandisha Singida United mwaka jana tena kwa taabu sana baadae wakamfukuza hakukata tamaa akajiunga na Timu nyingine na mwaka huu...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Unaambiwa jezi mpya ya timu ya Taifa ya NIGERIA imeshika patamu kwenye maduka mbali mbali ya nchi tofauti barani AFRICA. MADADA wengi wanaongoza kwenye manunuzi " Ni jezi nzuri, inavutia na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Thabani Kamusoko (kushoto) akiwa na kocha wa Yanga, Noel Mwandila Nahodha wa klabu ya Yanga, Thaban Kamusoko anaamini kuwa timu yao ipo tayari kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Rejea kichwa Habari hapo juu Naomba kujuzwa iwapo Mashindano hayo yataoneshwa live na channel hiyo
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari wanamichezo! Tangu kujiuzulu kwa Manji kwenye timu ya Yanga, sauti ya mamlaka ya kiuongozi imepotea! Huo ndo ukweli hata ukibisha. Tatizo la Mzee Sanga ni kupenda madaraka ambayo pia...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), inapigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha ambapo Mtibwa Sugar dhidi ya Singida United. 00' Mpira umeanza kwa...
1 Reactions
68 Replies
10K Views
Back
Top Bottom