Akiwa na mdau mkuu!.
Amesajiliwa na Singida United kutoka Brazil
Sina imani kama kuna kitu atafanya maana hiyo physical appearance tu utadhan delicious wa Insta
The Real Madrid superstar failed to score in the Champions League final but was able to dominate the post-match reaction after hinting at a transfer
Cristiano Ronaldo was wrong to steal the...
Argentina vs Haiti
Report
FT
4 - 0
(HT 1 - 0)
5/30/18 Friendlies
L. Messi 17', 58', 66'
S. Agüero 69'
Live Report
Argentina 4 Haiti 0: Lionel Messi hat-trick inspires route
Sacha Pisani
May 30...
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa...
Adam Salamba ni Mwekundu wa Msimbazi
Aliyekuwa mshambuaji wa Klabu ya Lipuli FC kutoka Iringa Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ada ya 40ml kwa ajili ya kuitumikia Simba SC kwa...
Unai Emery appointed as a new Arsenal manager replacing Arsene Wenger
BBC Sport
Klabu ya Soka ya Arsenal, imemtangaza Unai Emery kuwa kuwa Mwalimu mpya wa timu hiyo
> Hapo awali uongozi wa...
2017–18 UEFA Champions League - Wikipedia
- Leo messi yumo ndani ya champion league squad of the season mbele ya Mane.
kuna kipi alichomzidi kwa mwaka huu? magoli ? timu kuifikisha mbali?
-...
ARSENAL imeongeza mdhamini mwingine katika jezi zao za MSIMU WA 2018/2019
RWANDA TOURISM watakuwa kwenye jezi za arsenal kwa msimu mzima, NAIONA RWANDA IKIFAIDIKA MARADUFU katika Utalii na...
Huyu jamaa anawatesa sana wenzake kwenye mashindano ya Baiskeli , kwanini ?
Ni bingwa mpya wa michuano ya GIRO ITALIA , anawakilisha TEAM SKY YA ENGLAND , sielewi anawazidi nini wengine , mwenye...
Mshambuliaji nyota wa Brazil, Neymar Jr amesema yuko fiti kucheza fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kuanza Juni 14 nchini Russia bila kikwazo chochote.
Neymar ametoa kauli hiyo muda mfupi...
Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara 2017-2018 kufungwa leo, je nani kushika nafasi ya pili Azam FC au Yanga SC?
Vita ya kushuka daraja je nani kuungana na Njombe Majimaji ama Ndanda FC?.
Umeanza...
Katika upangaji wa timu 16 zitakazopambana katika hatua ya mtoano uliofanyika leo, Timu ya Real Madrid imepangiwa kucheza na PSG wakati Chelsea itapambana na Barcelona.
Hii ndio jinsi timu zote...
Beki wa Real Madrid ambao ni Mabigwa Wapya wa Kombe la UEFA Champions League, Sergio Ramos amesisitiza kuwa hakudhamiria kumuumiza Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah katika mchezo wa fainali...
Habari zenu!
Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu...
Psychological Blow baada ya Kuumizwa vibaya kwa Mshambuliaji Salah
Schoolboy Goalkeeping kutoka kwa Kipa Karius kwa Kujifunga
Squad Gambling kutoka kwa Kocha Klopp
Inauma sana kwakuwa tuliofungwa...
Katika mechi ya leo UEFA eti odds wamezigawa hivi.
Madrid-2.08
Draw-3.78
Liverpool -3.01
Leo kuna watu wanawapiga hawa jamaa mamilioni bila huruma, tayari nimeweka 20,000 asubuhi kesho...
Vikosi vya Real Madrid na Liverpool vinavyoanza leo katika fainali ya UEFA 2018
UPDATES
The players are in the tunnel. There’s a storming atmosphere in Kiev. Jurgen Klopp is smiling broadly, as...
Polisi wa eneo la Merseyside, Uingereza wamesema wanafahamu kuhusu vitisho vya maisha ambavyo vimetolewa dhidi ya mlinda lango wa Liverpool Loris Karius baada ya kuchezwa kwa fainali ya Ligi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.