Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni msimu wa tano sasa Simba imekuwa ikiusubiri na hatimaye msimu huu imepata kile ilichokuwa ikikisubiri kwa muda mrefu. Msimu wa mwisho Simba kutwaa ubingwa ilikuwa ni 2011/12. Kwa misimu hii...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau, mpo! Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool, Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima...
7 Reactions
106 Replies
7K Views
Baada ya Barca kupewa kipigo heavy cha 3-0 sasa anondoka rasmi mashindanoni kwa Roma kuwa na faida ya goli 1 walilopata mechi ya kwanza. Barcelona ni team hatari sana kwa Magiant wenzao wa Spain...
11 Reactions
46 Replies
7K Views
JOSE LUIS CHILAVERT =================== Magoli 67 na hatrick 1 Yawezekana likawa ni jina geni kwenye masikio yako ila si ajabu wala sio dhambi.Lakini kwa wale walio kitambo kwenye mpira wa dunia...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana ndio kwa mara ya kwanza ningeona ajabu la kumi na moja la farao kama liver angemfunga madrid kutokana na sababu hizi hapa 1) madrid kawatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve,na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Hii nchi mara baada ya kwisha ubaguzi wa rangi ilikuwa moto kwenye soka. Ilishiriki fainali za mataifa ya Africa na kombe la Dunia. Ilikuwa na wachezaji nguli...
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Zifuatazo ni Timu za GENTAMYCINE kuelekea Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi mwezi ujao ambazo nina uhakika zipo ambazo zitaenda hadi Robo na Nusu Fainali na hadi moja wapo kuibuka kuwa Bingwa...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Mohammed Salah ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu. Tumemuona mara nyingi akimuomba na kumlilia Mungu katika kila mechi aingiayo uwanjani. Tena muda mwingine husujudu kama ishara ya kumshukuru...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Baada ya jana Real Madrid kuwafurusha Man City kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya,maarufu kama UCL,Real Madrid wamepanga miadi na wanajiji wenzao wa Atletico Madrid kupambana kwenye...
13 Reactions
238 Replies
22K Views
Timu ya soka ya Azam FC imeingia makubaliano ya usajili kwa mkataba wa mwaka mmoja na mshambuliaji Donald Ngoma kwa ajili ya msimu ujao wa 2018/2019 - Ngoma alijiunga na Yanga mwaka jana kwa...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji alipoulizwa kuhusu kutomwita kiungo wa AS Roma, Radja Nainggolan kwenye kikosi chake akajibu kuwa ni kwa sababu za kiufundi mazima. Lakini wakati tunalijua...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania imetwaa rasmi ubingwa wa Ligi Kuu ya soka ya nchini humo bila kufungwa. Hii imefuatia ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya timu inayoteremka daraja ya Deportivo la...
7 Reactions
81 Replies
11K Views
Kwa upande wa Liverpool yajayo yanaogopesha, kivipi? Safu yao ya ukuta imekuwa ikivuja sana. Wanaruhusu magoli sana hali ambayo sidhani kama itawaacha salama. Namuona CR7 akienda kupiga hat trick...
10 Reactions
135 Replies
13K Views
Hii kauli aliwahi kuisema Sir. Alex Furgerson. Liverpool tuangalie tumeanguka wapi msimu huu ili msimu ujao tuanzie hapo.Position ya kwanza kuimarishwa iwe ya goal keeper.Nadhani Allison au...
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Ronaldinho gaucho mchezaji nguli WA Brazil aliyetwaa makombe karibu yote kama sio yote ya mpira WA miguu duniani anatarajia kufunga ndoa na wapenzi wake wawili anaoishi nao kwa kipindi kirefu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TEAMS 5 NITAKAZO SHANGILIA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU 1.Germany 2.Germany 3.Germany 4.Germany 5.Germany German Machines never die
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni baada ya kuichapa Aston Villa 1-0 kwenye fainali kali ya play off iliyopigwa Wembley
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Mategemeo ya Klabu ya Yanga SC kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa Vodacom Premier League (VPL) yamezidi kufifia baada ya hii leo kulazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya Ruvu Shooting. Katika...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani nina shida na mwalimu mzuri wa ngumi. Nina nia ya dhati ya kujifunza moja kati ya style zifuatazo; - Wing Chun - Tai Chi - Wu Xu Yakikosekana basi aliekuwepo ama anayejua mahala anipe...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Back
Top Bottom