Kiungo mchezeshaji wa klabu ya Soka ya Barcelona, Andres Iniesta(33) ametangaza kuondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu 2017/18
Kiungo huyo raia wa Uhispania aliyeichezea klabu hiyo...
Argentina wametangaza Kikosi chao cha wachezaji 23 wanaoenda Russia-Lcardi is OUT.
Mauro Lcardi ndani ya misimu 4 ya serie A - amefunga magoli 98 - msimu huu amefunga magoli 29 - Higuain...
Habari wakuu, napenda kupata maoni ya ni nani ni mchezaji bora wa ligi ya Vodacom Premium League,kutoka katika timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hii hapa Tanzania.Naomba unitajie mchezaji mmoja...
Simba ilichukua ubingwa miaka 5 mfululizo , yaani 1976,1977,1978,1979,1980. Ilifanya hivyo kwa kujibu mapigo ya Yanga ilivyonyakua taji hilo 1968,1969,1970,1971,1972.
Kwa kipindi chote Simba...
Rais wa Ghana Akufo-Addo amemrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda la Ghana Kwesi Nyantekyi, ambaye pia ni makamu wa rais wa kwanza wa shirikisho la kandanda barani Afrika CAF...
Anaitwa Tony alexander Adam, amezaliwa tar 10 oct 1966 katika kitongoji cha ROMFORD, ENGLAND
alianza kucheza Soka katika academy ya arsenal 1980-83 ilipofika mwaka 1983 alipandisha Timu ya...
Tangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..
Mimi kwa maoni yangu...
Salaam wakurugenzi, Nimekuwa nikifatilia kwa makini ligi ya vpl toka ianze,hususani timu ya simba. Toka ligi ianze timu ya simba ilianza kufundishwa na Omog, chini ya Omog timu ilicheza mpira wa...
Sijajua kwa nini vombo vya habari vina puuzia kikosi hiki cha vijana wa Tanzania.
Hii timu iko Russia, lakini, kimya hatupati updates zake.
Wanahabari za michezo jishughulisheni. Hii inalitangaza...
1. Brazil: "imetesa dunia mara tano".
2. Italia: "imechachafya dunia mara nne"
3. Ujerumani: "imetesa dunia mara nne"
4. Argentina: "imetia kibindoni dunia mara mbili"
5. Uruguay: "imetamba...
Huo ndiyo UKWELI!
Hata km ni mchungu lkn huo ndiyo UKWELI!Hali halisi hata huku mtaani upande wa pili umekwazika na hawana imani na wewe tena!
Tulikisihi uachane na MAHABA ya u-Simba na u Yanga...
Huyu ni muingereza alizaliwa mwaka 1973,
Alianza kuichezea Arsenal ya vijana mwaka 1989
Alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichochukua Taji la First division chini ya kocha Graham, pia...
Habari wanajukwaa, tunategemea kushuhudia mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika huko Urusi hivi karibuni. Mashindano hayo yataonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni vya TV 1 pamoja...
Watu wamemkalia kooni Jose Mourinho kiasi ambacho imebidi afanye deactivation ya akaunti yake ya Instagram! Usifanye mchezo kuvumilia mapovu ya mashabiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.