Naona unakuwa utamaduni sasa kwa bunge letu kualika timu bingwa wa ligi ya nchi yetu. Nadhani itakuwa jambo jema kwa timu bingwa wa kombe la FA kati ya Mtibwa na Singida United nae aalikwe bungeni...
"Huwezi kumdharau mpinzani,tunafahamu ni timu nzuri ndiyo maana wamefika hapo walio, tunejiandaa vizuri lengo letu ni kushinda mchezo ili tuweke nafasi nzuri kwenye kundi,muhimu ni mashabiki...
Baada ya kupigania nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya hatimaye wamegonga mwamba klabu ya Chelsea na kujikuta wakiungana na maasimu wao washika bunduki wa jiji la London na kucheza ligi Moja...
Kwa YANGA HII YA SASA .ILIVYOCHOKAA
3000. MZUNGUNGUKO
AMUWATENDEI HAKI WANACHAMA SIDHANI KAMA WATAKUJA MASHABIKI
NILIJUA MTAWEKA KIINGILIO
MZUNGUKO 750
VIP 3000. AMA 5000...ANGALIENI UPYA...
Mabingwa wa ligi kuu ya soka ya Hispania, almaarufu kama La Liga, jana wamejikuta wakipoteza mchezo wao wa kwanza kwa msimu huu baada ya kupokea kichapo cha mabao 5-4 kutoka kwa klabu ya Levante...
ASIKWAMBIE mtu, Ligi Kuu England na makali yake yote itanoga zaidi kama itanasa mastaa hawa ambao wanatamba huko kwingine.
Si kama kwenye ligi hiyo hakuna wachezaji wa maana, lakini kama mastaa...
Pamoja na ushabiki hapa Haji S. Manara umeongea ukweli mweupe...ni mchungu ila ndio ukweli......kama mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji wa hizi Club zetu kubwa mbili yasipofanyika hili...
TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo.
Full burudani
Karibuni sana Russia world cup 2018
Kwanza inabidi ujiandikishe kwa watu watakao tegemewa kununua ticket yaan uwe miongoni mwao, alafu unaingia kwenye line yao au mchakato mzima, wao ndo wanapanga nani apate nani hasipate,
Kwa...
Maana sio kwa kiwango kile walichotuonesha siku ya leo!
Maana mechi ilikuwa km ya maveterani
Wachezaji wanajivuuta km wamelazimishwa kucheza
Wanakosa magoli ambayo hta watoto wa miaka kumi...
Anaushawishi mdogo sana katika nyanja zote. Kunapotokea crisis msimtume Mkwasa kwenda kuimanage maana communication skills zake sio za kumshawishi MTU aliyekasirika akubali kufanyakazi. Hawezi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, anatarajia kuwakabidhi Kombe Mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania Bara VPL ,msimu huu wa 2017/2018 Simba SC, katika mchezo wa Simba SC...
Habarini Chiefs
Binafsi tangu mwanzo timu hizi zilipofuzu kuingia semi final ya FA cup nilishindwa kujua nani hasa ataweza kuchukua hiko kikombe,kulingana na aina ya uchezaji wa timu zote...
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal michuano ya kimataifa CAF
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.