Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kukabidhi kombe kwa bingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2017/2018. Rais...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwangu huyu ni bonge la striker nguvu anazo mipira ya juu yupo safi sijaona kosa la kocha wa france kwa huyu jamaa hii ni faida kwa watu wafupi kama wakina greizman kufaidika na huduma yake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu! Iwapo Rais Magufuli atakwenda kuwapa kombe Simba la Ubingwa 2018, tukio hili litakuwa ajabu ya dunia ama tunaweza kuita kituko cha karne katika soka. Sisi wadau wa soka tunajua Karia...
2 Reactions
94 Replies
11K Views
#FA Chelsea mabingwa kombe la FA England baada ya kuifunga Man United bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Wembley jijini London. #FACup2018 Timu ya ChelseaFC wakabidhiwa Kombe...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
ABBASI TARIMBA KURUDI KUWA MWENYEKITI WA YANGA SC Aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya Yanga Sc na mwanzilishi wa wazo la Yanga kampuni, ndugu abbasi tarimba anaweza akarud tena kama Mwenyekiti wa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kawaida wanaJF hakuna kinachotupita. Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni huku Simba ikijichukulia ubingwa kwa rekodi ya bila kufungwa. Tukiwa tunaelekea ukingoni kabisa mwa ligi kuu...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
More than 200 street-connected children from across the world have come together in Russia for their own boys and girls international football tournaments, festival of arts and Congress for their...
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Sidhani kama atatokea mpiganaji ngumi aliyefurahisha dunia kama huyu:
7 Reactions
84 Replies
12K Views
Fernando Torres apewa heshima zote Atletico ashindwa kujizuia na kulia mbele ya Umati.[emoji22] Torres alianza mpira akiwa na miaka 11 akiichezea Atletico Madrid team ya watoto 1995-2001 na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kocha wa Brazil Tite ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoelekea Urusi Brazil squad in full: Goalkeepers: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians). Defenders: Danilo...
3 Reactions
62 Replies
13K Views
KWATA UNIT katika blog yao wameandika hivi: Kulingana na Ufatiliaji wa karibu wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara VPL Kwataunit.com inakuletea Kikosi chake Bora cha Msimu kwa wachezaji wa Ndani...
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Miaka 22 iliyopita profesa kutoka ufaransa aliwasisli London kuwa manager wa moja ya timu kubwa London..Ilikuwa september 1996 ambapo Arsenal ilimtangaza Wenger kuwa kocha wao na alianza kazi 1...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Mh Rais wetu ulotukuka, tafadhari kama unapita huku au kuna watu wako wanapita huku naamini watakufikishia ombi letu, naomba usikubali kwenda kuwakabidhi simba kombe la ubingwa kesho kwa sababu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo ni fainali ya Kombe la Mkuu wa Majeshi. Mashindano haya yanafanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Fuatilia moja kwa moja kupitia kituo cha Television cha ITV Super...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema mpaka sasa wameshachukua ubingwa bila kufungwa na lengo lililobaki kesho ni kumaliza ligi bila kufungwa mbele ya Kagera Sugar -Amedai japo kwenye mpira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Awamu ya pili na mashindano yanayohusisha timu bora za Afrika Mashariki-SportPesa Super Cup yanatarajiwa kuanza Juni 3-10, 2018 nchini Kenya kwenye uwanja wa Kimataifa wa Moi uliopo Kasarani.Timu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa kiasi kikubwa. (87℅) ushindi wa Simba umechangiwa na uwepo Wa mfadhali (Dewji) kwa club na kiasi kikubwa (87%) cha kushindwa kwa Yanga kumechangiwa na kukosekana kwa mfadhili (Manji) Wa club...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Siku kama ya leo, miaka 6 iliyopita maeneo ya taa za chang'ombe, kiungo fundi mnyarwanda, Patrick Mutesa Mafisango alifariki Dunia, baada ya kutokea ajali ya gari. Wapenzi wa soka, unakumbuka...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom