Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa siku ya Jumatano ya Mei 9, imetimiza mwaka mmoja tangu ilipoanza uendeshaji wa shughuli zake za kibiashara nchini.SportPesa ambayo imeanzia nchini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imemtangaza kocha Thomas Tuchel raia wa Ujerumani kuchukua mikoba ya Mhispania Unai Emery hii leo. Kocha huyo wa zamani wa Borrussia Dortmund na Mainz za Ujerumani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Michezo inazidi kubuniwa, tumezoea mashindano ya ngumi, watu wanatwangana, kwa usimamizi wa refa. Katika mcho huu ambao Tayari 'umeisharasimishwa' huko Russia. Ni kuchapana makofi kwa zamu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Jana akihojiwa na kituo cha Azam live kutoka Namfua stadium,msemaji wa simba Haji manara amesema,", Siku ya jumanne ataongea mambo mazito dhidi ya Yanga na kuanzia Siku hiyo wanayanga hawatatumia...
1 Reactions
85 Replies
6K Views
Imedhihirika jana baada ya mechi kali ya el clasico kwa mpambano ule ambao ulishuhudia Barcelona wakitumia zaidi ya dakika 50 wakicheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja na bado wakafunga bao na...
6 Reactions
72 Replies
9K Views
Said Mwamba a.k.a Kizota alikuwa ni mchezaji mahiri kwa klabu ya Dar Es salaam Young Africans na timu ya taifa ya Tanzania. Watu wengi hawafahamu kwa nini mchezaji huyu...
4 Reactions
39 Replies
16K Views
Mimi nikiwa ni mpenda soka haswaaaaaaaa nimeshtushwa na kushangazwa na hili la yanga kutaka kuazima mchezaji wa lipuli ADAM SALAMBA ili akawasaidie kuwaongezea nguvu ktk michuano ya kimataifa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Frenchman, Arsene Wenger took charge of his final game ar Arsenal yesterday bowing out of the club after 22 years and and 1,235 games. In his post-match interview after Arsenal’s win at...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Edward 'Eddie' Hall(30) ni mshindi wa shindano la World's Strongest Man kwa mwaka 2017. Mbali na kupata ushindi katika mashindano hayo, aliweka rekodi ya dunia kwa kuweza kunyanyua Kilogramu...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Tarehe 13 Chelsea anashuka dimbani kukipiga na Newcastle kwny mechi yake ya mwisho huku Liverpool akikutana na timu ngumu EPL msimu huu ya Brighton and Hoves. Liverpool anashindwa kupata nafasi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Mbwana Samata anayecheza soka la kulipwa nchini Belgium emerejea katika ubora wake baada ya leo hii kuifungia magoli mawili timu yake ya Genk dhidi ya Sporting...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Majina haya yanawapa shida mashabiki, makocha, waandishi wa habari na wachambuzi mbalimbali 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece/Dortmund) 2. Jakub Błaszczykowski: Poland (Wolfsburg) 3...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja, mitaani kumekuwa na majigambo baina ya watani wa jadi kuwa Simba endapo kama itamaliza ligi bila kufungwa hakitakuwa kitu kipya mbali na kwamba walishawahi...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Mchezaji wa Club ya Liverpool,Mohamed Sarah,leo ametangazwa kuwa ndiye mchezaji bora ligi kuu England Source:BBC sports
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nikiangalia msimamo wa ligi hii napata mkanganyiko namna gani wanagawa points. Kwa mfano; Club Brugge wameshinda mechi 3, draw 2, wamepoteza 3 wana alama 45, zinatoka wapi hizi? Tusaidiane hapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa upande wangu licha ya Azam Tv kuwa watu wazur katika uchambuz katika kipindichao cha michezo (Sport@8) kama Jeff, Edo Kumwembe, Kitambi etc lakin naona bado hawajafanikiwa kuishusha Sports Bar...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Anaitwa Rui Felipe da Cunha Faria au maarufu kwa jina la Rui Faria ambapo alizaliwa 14 June 1975 huko nchini Ureno. Kwa taaluma ni Kocha lakini pia ni mtaalam wa elimu ya viungo na mazoezi. Kocha...
9 Reactions
25 Replies
9K Views
Salah anafunga sana, KDB ana assist sana, na wote ni tegemeo kwenye timu zao, unahisi nani anapaswa kuwa Mchezaji bora wa Msimu? Kwangu mimi nampa nafasi Salah.
3 Reactions
86 Replies
12K Views
Leo lazima Mnyama anyofolewe nywele kudadadeki...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ukiambiwa watu barani Afrika wana pesa usikatae kwa vile wewe hauna, unaambiwa mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundown ya nchini Afrika Kusini, Bilionea Patrice Motsepe amejitosa kulipia kiasi cha...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom