Kiukweli huu mwenendo wa timu yangu penda si stahiki kabisa.. Yaan sasa mmeamua kugawa tu oroda kwa kila timu, hata timu za vichochoroni kama Prison..
Mnatutukanisha kabisa shabiki zenu huku...
Hakika Klabu ya WANANCHI YANGA kwa hiari yake Leo imeukabidhi Ubingwa wa Kandanda Tanzania Bara lea Klabu ya Simba.Yanga imeutema ubingwa huo baada ya kipigo kutoka lea Klabu ya Prison ya...
Tunayo kila sababu ya kujipongeza, hasa wachezaji,uongozi,mashabiki wa kweli,si kazi rahisi pamoja na kutemewa mate,kuitwa mikia hatimaye tumechukua ubigwa unaotokana na ujuzi bila lawama...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe ameutaka uongozi mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha vyama na klabu hawabinafsishi vyama na klabu...
[emoji821]BEKI Mtanzania, Abdi Banda, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Baroka, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili na Mei 2018 kwa upande wa klabu hiyo...
Juzi jumamosi nliangalia kikosi cha yanga kilichoenda algeria...nkaona ni kikos dhaifu sana...nkaskiza na news (sports xtra)...nkasikza na maneno ya kocha wa yanga akisema wanaenda kutafta droo...
Shirikisho la soka nchini (TFF) limeviagiza vilabu vya Coastal Union na Yanga SC, kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wao waliojiuzulu.
Itakumbukwa kuwa hivi karibuni...
Kombe la shirikisho la afrika,caf confederation cup leo hii↙↙⏬
Usm alger vs Yanga sc
Muda saa 22:00 pm EAT➡ live on ZBC 2
Kila la heri yanga.#naipenda yanga
Daima mbele nyuma mwiko
Nadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji...
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni..nikitafuta facts za teams nilizotaka kubet
Nikakutana na club inayofahamika kwa jina tajwa hapo juu.
Huyu ni striker mtnz ana miaka 25, mwenye asili ya...
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea wanatarajiwa kulamba kitita cha bilioni 434 za Kitanzania kutoka kwa wasimamizi wa ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika wikiendi hii.
Fedha hizo...
Nimeifuatilia Timu hii kwa muda mrefu nimebaini kwamba kwa kiwango ilichoonyesha haikustahili nafasi iliyopo , inapaswa kuwa juu ya vibonde Arsenal na Chelsea .
Kiukweli ilistahili kucheza Ligi...
Dimba la Taifa jijini Dar es salaam liko shwari kabisa kuelekea mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara VPL.
Simba SC vinara wa ligi hiyo wakiwakaribisha Ndanda FC kutoka mkoani Mtwara.
0'1 mpira...
Real Madrid vs Barcelona 6 May 2018.
Madrid line up
-Navas
-Nacho
-Varane
-Ramos
-Marcelo
-Casemiro
-Modric
-Kroos
-Benzema
-Ronaldo
-Bale
Sub
- Casilla
-Vallejo
-Theo
-Vazquez...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.