Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa jamaa mechi zote mbili wamecheza soka safi pamoja Na kushambulia, mbele wana watu Na chances nyingi za wazi wamepata lakini wameshindwa kufunga magoli ya wazi! mwisho wa Siku wanatolewa Na...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Andrés Iniesta Luján hakuna shabiki wa soka asiyelijua hilo jina kiungo aliyekuwa muhimili wa klabu Barcelona pia na timi yake ya taifa ya Spain. Barcelona wamepata pengo lengine baada Xavier...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Niliomba Masaada kwenye thread Kama mbili jinsi ya kupata pesa yangu kidogo kutoka mbet niliyoshinda watu wanapita na kuangalia tu kama nyanya chungu. Nilikuwa na mtaji wa shilingi 2000 sasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mlinzi wa West Ham United, Arthur Masuaku amefungiwa Mechi sita na Chama cha soka nchini Uingereza FA baada ya kumtemea mate mchezaji mwenzake. Mchezaji huyo ambae ni raia wa Ufaransa alimtemea...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Moja ya mchezo wenye changamoto nyingi sana hasa katika mchezo wa Soka ni mchezo wa "WATANI WA JADI" yaani Simba Vs Yanga. Ni mchezo ambao unabeba hisia nyingi sana kwa wanamichezo kuanzia...
11 Reactions
152 Replies
26K Views
Habari zenu wana JF, nadhani kwa jinsi vyuma vilivyokaza basi ni kwa neema ya mungu mambo yatakuwa mazuri tu Niende moja kwa moja kwenye maada bila kuwachosha. Kuna huyu mchezaji wa kenya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimezoea Kuona Takwimu za Magoli Yake Na Idadi kwa Ujumla mpaka idadi ya magoli ya kichwa, magoli ya mguu wa kulia/kushoto na ya penalt je nani anaweza kunambia magoli ya Faulo(free kick) anayo...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
huwa simwelewi huyu msemaji wa simba? kitendo alichokifanya juzi pale uanjani ni cha hatari sana sana sana? sijui kama anajua. haji manara hata Manchester united na timu kubwa zote zina watu wa...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo ni siku ya jumatatu April 30,2018. Naomba msiusahau huu uzi Ni hayo tu Hongereni mashabiki wa Bayern Munich kwa kuchukua kombe la UEFA 2017/18.
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Nimesikitishwa sana na kiwango kibovu cha soka kilichoonyeshwa na timu hizi kwenye game ya jana , ni aibu sana kwa timu hizi zinazosemekana zinafundishwa na makocha wa kigeni . ili soka la...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Wengi wataponda na kusema mengi kutokana na post hii, basi wacha nifupishe, yaani kabisaaa mmemuondoa mtu wenu mmoja ili mushinde mechi dhidi ya Yanga? Najua wewe ni miongoni mwa wachache...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Sportpesa mnatutumia meseji mkitumbia kuwa tukialika marafiki tunapata Bonus. Tumewasikiliza na kualika marafiki lakini hamtoi hata shilingi kumi,pili nikibet nikaona nimefanya kosa kabla ya muda...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kuelekea pambano la watani wa jadi nchini Tanzania, Simba SC na Yanga FC Jumapili Aprili 29, 2018 nani atapapaswa? Hili ndo swali ambalo linagonga vichwa vya habari upande wa mchezo wa soka kwa...
4 Reactions
186 Replies
23K Views
Kama ' Utani ' wa Simba na Yanga ndiyo leo umefikia hivi basi kama hatua za haraka hazitochukuliwa na Mamlaka husika huenda kuna Siku ule Uadui wa Kisiasa wa CCM na CHADEMA ukahamia kwa Wapenzi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inajulikana kuwa Noel Mwandila amekuwa ni msaidizi wa George Lwandamina kwa muda mrefu,na iliwahi kusemwa Chicken hupenda kufanya naye jazi...Lwandamina ameshaondoka na inasemekana amerudi kwenye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1.De Gea 2.Kyle Walker 3.Ben Davies 4.Nicholas Otamendi 5.Cesar Azpilicueta 6.Fernandinho 7.Mo Salah 8.David Silva 9.Kane 10.De Bryune 11.Leroy Sane Hiko ni kikosi changu kwa mtazamo wangu, je...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Asalaam aleiykum wanajamvi leo nimelileta hili kwenu kuhusiana na hawa mabingwa watetezi wa vpl ya kuwa ni kama vile hawaguswi na TFF,waandishi wa habari na hata wachambuzi huwa hawawagusi hawa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea mchezahi wenye umri mkubwa, mchezaji wa timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini Yanga Kelvin Yondani kumtemea mate mchezaji wa...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Serengeti boys leo ilikuwa inacheza mchezo wa fainali dhidi ya Somalia huko nchini Burundi katika mashindano ya CECAFA U17. Mchezo ambao umeisha kwa Serengeti boys kuifunga Somalia (Ocean Stars)...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakuu, sijasikia hitimisho la kurejeshwa timu ya U17 ya Zanzibar kwa tuhuma ya kukiuka umri wa baadhi ya wachezaji kwenye michuano ya CECAFA iliyomalizika hivi karibuni nchini Burundi. Palikuwa na...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
Back
Top Bottom