Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

club bingwa mtetezi yanga, imemnasa mganga wa kienyeji wa lipuli fc ambaye aliwasaidia kumbana mbavu mnyama katika mechi zote mbili. Ikumbukwe kuwa mnyama hajamfunga lipuli katika mechi zote...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Soma barua hii
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbeya city itabidi ijilaumu yenyewe kwa uzembe wa kumruhusu mchezaji wake kufanya ujanja na kuingia uwanjani bila ruhusa ya muamuzi na wakifahamu kua ni kosa kwa mujibu wa sheria za mpira wa miguu...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Huyu Saimon msuva ni hatari yupo on fire tumaini jipya la watu wazalendo kama sisi siasa midosho [emoji41]
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Mnamsema T. Henry anakumbukwa sana akiwa Barca?
0 Reactions
1 Replies
799 Views
O.lyon v nantes 1 bayern m v frankfurt 1 roma v chievo 1 benefica v tondola 1 jonava v suduva 2 paide v flora 2 real madrd v leganes 1 marbor v triglav 1 emmen v utrecht 1 Good luck
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi hzi betting za mpira mfano meridian na premier kuna watu huwa wanapata?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
habarini wanajamvi......... Hivi ili mchezaji akose mechi inayofuata anatakiwa apate kadi za njano tatu mfululizo au hata kwa intervals.? naombeni msaada kuna ubishi mkali hapa..... Wengine...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Andrés Iniesta Luján hakuna shabiki wa soka asiyelijua hilo jina kiungo aliyekuwa muhimili wa klabu Barcelona pia na timi yake ya taifa ya Spain. Barcelona wamepata pengo lengine baada Xavier...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nisaidieni mikeka ya leo nina elfu tatu nahitaji kubeti mikeka miwili tofauti
1 Reactions
3 Replies
3K Views
https://yingamedia.com/video-jason-derulo-colors-the-2018-world-cup/
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Juzi ilikuwa siku ya vitabu duniani.Hivyo nafikiria mimi na wewe tutengeneze group letu la whatsapp la kusoma vitabu ambalo tutaliita "The Book Readers Forum[emoji432]." Group letu litakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Mimi nilikuwa na 21 wakati huo. Nilikuwa mshabiki wa New Castle United ya kina Ginola , Asprila na Kaka mkuu Allan sheareh. Ila nilikuwa na mahaba na Arsenal baada ya le professor Wenger kumleta...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
napenda kumpongeza sana mwalimu wangu ambaye pia ni mwamuzi Wa Mpira Wa miguu kwa kupata badge ya FIFA.. hongera sana...naamini juhudi na jitihada zako zimekufikisha hapo! hongera sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana, Kama kuna mtu alipata matokeo ya team yetu ya Serengeti boys na kenya, match iliyochezwa jana, naomba kuyafshamu, Asante.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TIMU YA WANANCHI NA MZIMU WA UWANJA WA SOKOINE MBEYA. Mwaka 1986, Tukuyu Stars kutoka Bagamoyo, Tukuyu, Rungwe, ilichukua ubingwa wa Tanzania Bara ikiwa ni mara ya kwanza timu kutoka wilayani...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
UINGEREZA: Shirikisho la Soka, FA limepokea ofa ya dau la paundi milioni 800 ili kuuza uwanja Wembley ambao ni mkubwa kuliko yote nchini humo Dau hilo limetolewa na Mmiliki wa klabu ya na Fulham...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Ukiachia mbali kuboronga kwa referee wa mchezo wa jana kati ya Mbeya city na Yanga. Nimeshtushwa na ujasiri wa kiwango cha 'nuclear' ulioneshwa na Mbeya City Hakika sijawahi hata kudhania kuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba mnipokeee me mgeni wenu nmtokea tanga hadi humu ndani napenda mpira kuliko udakuu
2 Reactions
0 Replies
336 Views
Mechi ya Mbeya City na Yanga ilichabangwa Jumapili (juzi). Matokeo yalikuwa 1-1. Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Kumekuwa na malumbano kuhusu hatma ya mchezo. Shida ilianza uwanjani dakika za mwishoni...
5 Reactions
28 Replies
9K Views
Back
Top Bottom