Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nashangaa sana kusikia viongozi eti wakilalamikia mchezaji wa mbeya city aliyepewa kadi nyekundu kaingia kuja kushangilia goli la kusawazisha.Hivyo mnahitaji point za mezani!Mnasikitisha!
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ikijakugundulika kati ya Mechi ya Yanga na Mbeya City jana Kuwa Yule mchezaji wa Yanga alieteleza na Kuanguka Na Yanga kupewa Faulo ya Bureee... iliosababisha Goal kwa Yanga Refa kufungiwa....Au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuhusu Zahera Mwinyi. 1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project" Katika project kuna Mambo...
1 Reactions
18 Replies
12K Views
Klabu ya Mabingwa watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga imefunguka na kudai wamekabidhiwa kiwanja chenye takribani hekari 50 Mkoa Dodoma kwa lengo la ujenzi wa 'academy' itakayokuwa inakuza...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kama walivyo hamishwa wenzao[emoji15] [emoji15]
0 Reactions
27 Replies
3K Views
habr zenu wana jf kiukwel liverpool imekua ni timu inayo fanya vizul katika ligi ya mabingwa ulaya (UEFA) kutokana perfomance yao toka mwanzo kiukweli they deserve to lift the trophy...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Pablo Aimar - Kabla Messi hajatokea huyu ndiye aliyekabidhiwa mikoba ya Maradona! 2. Austin Okocha - Pele alikiri kuwa huyu kiungo madoido ni balaa na atafanya makubwa! 3. Faustino Asprilla -...
3 Reactions
135 Replies
22K Views
Mimi ni shabiki kwelikweli wa soka. Natamani timu yangu ishinde kila mechi na kila kombe. Lakini pia mimi ni muumini wa haki. Napenda sheria, kanuni na taratibu zifuatwe. Napenda nidhamu ya mchezo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
MTAZAMO WANGU Wanayanga Tukubali Kwamba UBINGWA Msimu Huu Tumeukosa, Hivyo Basi Ni Ubora Uongozi Ukawekeza Nguvu, Akili Na Plan Katika Mashindano Ya Kombe La SHIRIKISHO BARANI AFRIKA. Iwapo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League (VPL), kuendelea leo katika uwanja wa Samora Mkoani Iringa ambapo Lipuli FC Wanapaluhengo, wakiwa nafasi ya 8 kwa alama 31...
4 Reactions
257 Replies
26K Views
Leo katika pitapita zangu kwenye mitandao nikaingia bbc sports ilinikapige kura ya epl player of the year nimekuta wameshafunga mshindi anatangazwa baadae leo hii tarehe 22 April 2018 Matokeo...
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Pengine hii ndiyo habari inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wapenda soka Tanzania. yaani sio kwa upuuzi ule, Yanga wapewe tu pointi zao.
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Hii ni baada ya kuingia uwanjani ili kuwatandika bakora wachezaji na makocha wa timu yao , baada ya kutolewa kwenye nusu fainali ya NEDBANK CUP baada ya kuchapwa na timu ya Free State leo hii...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanaume 1. Eliud Kipchoge - Kenya 2. Tola Shura Kitata- Kenya 3. Mo Farah - British 4. Abel Kirui -Kenya 5. Bedan Karoki- Kenya
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau kuna mdiaspora anataka kununua timu Tanzania. Iwe walau inashiriki ligi daraja la pili ili aipandishe daraja la kwanza na hatimaye ligi kuu. Kama unaijua timu inayoweza kuuzika nijulishe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kichwa chajieleza,, Poleni na majukumu Nina umri wa miaka 24. Nina ndoto za kuwa bondia Mkubwabapa Duniani, Wazoefu wa hii sanaa tafadhali sana naombeni msaada wenu.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo! lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule...
4 Reactions
81 Replies
7K Views
Kama topic inavyojieleza. Naamini wapo baadhi ya magolikipa wanapata clean sheets nyingi si kwa ubora wao bali kutokana na mfumo mzuri wa ulinzi unaotumika na timu zao, pamoja na umahiri wa...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
MAMBO bado mazito na mashabiki wa Yanga hawaelewi nini kimetokea hadi kocha, George Lwandamina akaondoka kwenye kikosi cha mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara. Mabosi nao wamepigwa na mshangao...
5 Reactions
50 Replies
12K Views
Yanga walianza kwa spidi kukarabati uwanja wao, mbona kimya hadi leo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom