Hii pesa ambayo ndugu zangu Yanga wataipata. Mwaka 2013, ulikuwa ni mshahara anaolipwa Yahya Toure kwa week pale man city. Kweli Africa ina safari ndefu kuja kufanikiwa ktk kombe la dunia.
Wakuu habari zenu?
kumekukuwa na utaratibu kila week Baada ya michezo ya mechi za uefa kuwepo na goli bora
Week iliyopita tulishuhudia mechi za robo fainali.
Baada ya mechi hizo uefa wanetoa...
Wakuu habari zenu?
UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 kila week Baada ya mechi kuchezwa walikuwa wanatoa
Mchezaji bora wa week kwa timu zote zilizocheza hiyo raundi
Wafuatao ndio...
Wachezaji watano wa klabu ya Manchester City wametajwa katika kikosi bora cha ligi kuu ya nchi ya Uingereza(Professional Footballers' Association Players' team of the year).
Viungo Kevin de...
Yanga kesho saa kumi jioni tunakipiga na Wollaita Dicha ya Ethiopia ktk uwanja wa Hawassa City,baada ushindi wa 2-0 katika uwanja wa taifa bila kuwa na wachezaji wetu muhimu Tshishimbi,Chirwa...
LIGI YETU HAIKO FAIR.
Simba & Yanga ni team ambazo kuchukua ubingwa wa VPL zinabadilishana tu ukiwa na upenzi bila jicho la tatu utasema wana deserve na wanavikosi bora . Lakini kwa jicho la...
Nyota wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva usiku wa jana ameibuka shujaa wa timu yake ya Difaa Hassan El Jadida, baada ya kufunga mabao mawili ambayo yaliisadia kutoa sare ya 3-3 ugenini katika...
Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka , Kocha bora ni yule anayeweza kuwapa mbinu za ushindi wachezaji alionao bila kutegemea fungu kubwa ili kunununua wachezaji bora wa dunia , kocha anayeweza ku -...
Baada ya kutazama mechi mbili yaani CSKA Moscow vs Arsenal FC (Luzhnik Stadium) na Olympique de Marseille vs RB Leipzig (Stade Vellodrome) na kuona jinsi gani mfuasi wa soka anavyoweza kufika...
Timu ya taifa ya Zanzibar ‘Karume Boys’ imeondolewa katika mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, yanayoendelea kutimua vumbi Burundi kutokana kuchezesha wachezaji 12 waliozidi umri...
Maafisa wa timu ya Cameroon inayoshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Australia wamesema wanamichezo watano kutoka kambi yao wametoweka.
Wanyanyua vyuma watatu na mabondia wawili...
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL kuendelea leo tena uwanja wa Taifa, ambapo Simba SC vinara wa ligi hiyo wakiwakaribisha Tanzania Prisons kutoka mkoani Mbeya...
Habari wakuu,
Napenda kuchukua nafasi hii kumuuliza mwekezaji wa Simba ndugu Mohamedi Dewji, aliposhinda nafasi kama mwekezaji wa Simba aliahidi ndani ya mwaka mmoja Simba itakuwa na kiwanja chake...
Klabu kubwa za Simba na Yanga ndizo ambazo zingekuwa chemchem ya soka letu Tanzania, bahati mbaya wanachama na wapenzi wa timu hizi waliwaachia wafanyabiashara wa kihindi kufanya biashara na...
Tanzania imepaa kwa nafasi 9 hadi nafasi ya 137 kutoka nafasi ya 146 kati ya mataifa 211 katika viwango vya ubora wa soka duniani vilivyotolewa na FIFA siku za hivi karibuni.
Hivi karibuni, timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.