Klabu za soka za Real Madrid ya Uhispania na Bayern Munich ya Ujerumani zimefuzu kuenda hatua ya nusu fainali katika michuano ya #KlabuBingwaUlaya
Pamoja na jana kufungwa goli 3-1, Madrid...
Dunia ina wastani ya washabiki wa mpira wa miguu 1.6 Bilioni kwa takwimu za mwaka 2013. Timu hizi za EPL zimegawana hao mashabiki kama iifuatavyo:
EPL Footbal Club Team Fan-base...
Kama kuna Watu wamebarikiwa kwa kuwa na ' machale ' ya kuja kupata ' dhahama ' basi ni Kocha wa Yanga Mzambia George Lwandamina kwani ameshaona kwa mwendo huu wa Simba Sports Club katika Ligi Kuu...
Nikisema katoka sayari nyingine huyo ni messi,
Nikisema katoka venus mtasema labda Cr7
Sasa nasema hivi huyu kiumbe katoka Galaxy nyingine!
Si mwingine bali ni Mo salah Madevu.
Waingereza wanazidisha mapenzi kwa wachezaji wazawa. leo wamempa goli la bure kane ilimradi aweze kushindana na Salah. Goli hilo awali lilihesabiwa kwa Eriksen ila leo wamempatia kane.
Harry...
Jana kuna goli walifunga man city, kwa benardo silva kupiga shuti na na kumaliziwa na sane. Man city wakidhani ni goli refa alilikataa goli hali iliyoleta tafrani mpaka Pep guardiola akatolewa...
Kikosi cha Young Africans kitakachoanza dhidi ya Singida United katika mechi ya Ligi Kuu Bara
Youthe Rostand, Hassan Kessy, Haji Mwinyi, Abdallah Shaibu, Kelvin Yondani , Papy Tshishimbi, Yusuph...
Timu ya Tanzania katika juma imecheza.michezo ya kirafiki na Timu kubwa za Soka Afrika;Timu ya Alijeria na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Mchezo wa kwanza Stars ikafungwa 4-1 nchini Aljeria na...
Wakuu FIFA wametoa orodha ya waamuzi watakaochezesha kombe la dunia, cha ajabu ligi kubwa na pendwa kama Epl hakuna hata mmoja.
Hii ina maana gani? Ni kwamba FIFA wameona hamna anayefaa hata...
Huyu jamaa amekuwa maarufu sana kwa misemo mbalimbali na namna ya kipekee ya uchambuzi wa mpira hasa magoli na vionjo ndani ya uwanja, napenda sana maneno yake na naamini kila mmoja anapenda...
Rais wa klabu ya Barcelona Josep Maria Bartomeu amewaomba wachezaji wa Barcelona, mashabiki na makocha kushikamana pamoja baada ya kufungwa na AS Roma na kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa jana...
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ameteuliwa na Shirika Umoja wa Mataifa la Utalii (UNWTO) kuwa balozi wa utalii duaniani.
=========
Madrid, Spain, 9 April 2018 - Considered by many the...
Wasalam
Nianze kwa kusema mjadala wa nani zaidi kati Lionel Messi na Ronaldo CR7 haujawahi kupata mshindi.
Pia sijawahi kuona upande gani ukiibuka washindi, pale walipopambanishwa kati ya...
Habari wana'Sport
Leo tarehe 11.4.2018 Klabu ya Singida utd kutoka Singida watakuwa Wageni wa YANGA pale Dar.
Wakiwa na rekodi ya kuwatoa Yanga kwenye kombe la FA .. Singida utd mchezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.