Klabu ya Manchester City imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ya Uingereza ( EPL ) baada ya timu iliyokuwa inamfukuzia ya Man Utd kufungwa leo na timu ya West Brom inayoshika mkia katika msimamo wa ligi...
Leo kunafanyika droo ya michuano ya klabu bigwa Ulaya na Michuano ya Europa league. Droo hii kufanyika Nyon, Uswizi
Droo ya Europa League inatarajiwa kufanyia saa 13:00 mchana wa leo kwa muda wa...
Kevin De Bruyne(Manchester City) na Mohamed Salah(Liverpool) wanatarajiwa kuchuana vikali kuwania tuzo ya mchezaji bora katika ligi ya mpira wa soka baada ya kutajwa katika orodha ya wachezaji 6...
Man U wamelazimishwa wamtangaze bingwa mapema japo walikuwa wanabisha na hawataki. Hii ni baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwa bila wakiwa nyumbani Old Trafford kutoka kwa West Brom Albion ...
Kocha wa Mabingwa watetezi wa La Liga Zinedine Zidane, amepangua kikosi chake na kuwaacha nyota Cristiano Ronaldo na Gareth Bale kuelekea mchezo wao wa ligi leo dhidi ya Malaga.
Zidane amewapa...
Kuna kila ukweli kuonyesha kuwa changamoto kuu ya Yanga kwasasa ni ukosefu wa udhamini baada ya bw yusuf Manji kuondoka.
Kiungwana tumuombe Bwa Manji ainusuru club ya Yanga kifedha ili iweze...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni... hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu hakuna kama TBC, toka kipindi cha kina Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Jongo, Eziekel Malongo mpaka sasa kipindi...
#1. Manchester United
Social Media: 75 million followers (68m facebook, 7m twitter)
Tv Viewership: 52 per cent of the Premier League’s entire global TV audiance (premier league averages 3.5 to 4...
katika pambano la anthony joshua na takam katika round ya pili takam alimpiga kwa kichwa puani joshua kiasi cha kuvuja sana damu, je hii sio foul ambayo joshua angestahili kupata ushindi endapo...
Baada ya mechi za robo fainali kuisha za Champions league 2017/2018 tulipata kuona mengi ya kushangaza..Liverpool ilimjeruhi Man city kwa kipigo kikali sana 5-1..City alifungwa nje ndani…Real...
WAKATI homa ya mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga ukianza kupamba moto, kiungo wa Simba, Jonas Mkude amedai kuwa kama Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina...
RED STAR VS PARTIZAN SIO YA KUKOSA
Ukitaja Derby hatari duniani basi hakuna derby hatari kuliko ya Red star Belgrade vs Partizan.Ubora ,utamu na uhatari wa derby hii imechagizwa na masuala ya...
Heshima nyingi sana kwenu wadau na wanazi wa soka hususani ulaya.
Tukiwa tunasubiri kuangalia mtanange wa UEFA Leo,naomba niwakumbushe timu hii iliyopotea katika michuano hii na katika La liga...
Baada ya mechi za robo fainali kuisha za Champions league 2017/2018 tulipata kuona mengi ya kushangaza..Liverpool ilimjeruhi Man city kwa kipigo kikali sana 5-1..City alifungwa nje ndani…Real...
Timu za Simba na Mbeya City tayari zimeshaingia uwanja wa Taifa tayari kwa mtanange. Baada ya jana Yanga kushurutishwa sare na walima alizeti, Simba inashika usukani kwa tofauti ya alama tano...
Wakuu nikiangalia ilivo real Madrid na kikosi chake kipana n'a nikizingatia ndio kumbe liliobakia wao msimu huu kugombania maana kuingine hamna nafasi ya kuchukua league ninaona lazma juventus afe...
Nilijaribu kuangalia mechi mbili za kimataifa za kirafiki kati ya timu yetu ya taifa (Taifa stars) .. Dhidi ya Algeria na dhidi ya DRC..Mechi hizi mbili nimezifurahia sana kwa kuwa TFF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.