Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hali tete sana .... kama una la kumshauri Guadiola hebu weka maoni yako hapa huenda kuna mtu akayaona akampelekea ili ayafanyie kazi kesho.
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu. Kuelekea fainali ya UEFA Champions League tarehe 26 may 2018 nchini Ukraine, mjini Kyiv kumekuwa na kila mtu na mtazamo wake juu ya nani atacheza fainali na nani ataibuka kuwa...
12 Reactions
41 Replies
11K Views
Aman iwe nanyi Yule kocha mbabe George Lwandamina wa Yanga SC ameikacha team hiyo na kutimukia club yake ya zaman ya Zesco fc Taarifa inayozagaa mitandaon inadai kuwa kocha huyu tayari ashasain...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
NEVER WALK ALONE..
3 Reactions
1 Replies
969 Views
5-1 kwa mancity kufungwa kwenye champions league sio mchezo.. dah shikamoo klop Na upande wa pili kilichowakuta kina messi wanakijua..
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu utani wa mashabiki wa Liverpool baada ya mechi yao na Man City ulitaka kunivunja mbavu. Kwamba baada ya Mechi Alexander Trent-Arnold akatoa vitu vyake alivyokuwa navyo mfukoni kama...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
"Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu" Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa...
1 Reactions
92 Replies
11K Views
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi mbili maarufu EPL na La Liga. Jose akiwa kwenye interview na talksport...
2 Reactions
201 Replies
22K Views
Wakuu leo nilikia naangalia baadhi ya takwimu ya soccer la bongo kama vile Timu yenye mataji mengi Mfungaji bora wa muda wote Magoli mengi ya kujifunga Mchezaji mwenye assist nyingi...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
TUMIA KATI YA HIZI LINK KUONA MECHI YEYOTE LIVE STREAMING livesport.ws/en click live to watch http://www.s365.live france na spain Sony LIV
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wachezaji wa simba wakitumbuiza kwa muziki aina ya taarabu kwenye kumbi za burudani huko arabuni ili kujiongezea kipato.
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Zimeenea habari mtaani kuwa lile goli la kwanza ilikuwa ofside. Amueni wenyewe. MAROC 02 VS 01 TANZANIA 08/ 06/ 2013 - YouTube
0 Reactions
23 Replies
39K Views
Simba ilipata bahati ya mtende kwa kumsajili staa aliyeachwa na Yanga, namzungumzia Hamis Kiiza. Licha ya mafanikio makubwa aliyoipatia mikia ndani ya muda mfupi, majungu na lack of...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo ni kivumbi cha ligi kuu soka Tanzania bara ambapo mnyama simba atashuka dimbani kuumana na Mtibwa Sugar. Ni mechi inayotarajiwa kuwa na ushindani wa kipekee kwani Mtibwa wamekuwa wanazikazia...
4 Reactions
206 Replies
21K Views
Habari wadau!! Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Simba inahitaji ubingwa kwa nguvu zote na ili kufanikisha hili ni lazima Simba wampige Mtibwa sugar ugenini Leo ili kutengeneza njia …Tunajua ni mechi...
11 Reactions
353 Replies
16K Views
Wakuu, nadhani mtakumbuka miaka ya hivi karibuni tulitembelewa na wachezaji wakongwe wa klabu ya Real Madrid na nadhani FC Barcelona. Nilidhani vilabu vyetu vingeanzisha utaratibu huu wa...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
Alfredo Di Stefano ni mmoja kati ya watu wanaoheshimika sana katika club ya Real Madrid. Kwa miaka yote 11 aliyodumu akiwa mchezaji wa Real Madrid, Di Stefano alicheza kwa mafanikio makubwa sana...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa klabu ya Simba hasa baada ya kuwapata John Bocco, Erasto Nyoni, Aishi Manula na Shomari Kapombe na kuanza kulinganisha na tangazo la 3 Mzuka ukilinganisha na...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Haya ni mashindano ya 11 ya mbio za kubebana nchini Uingereza. Chris Hepworth, akiwa amembeba Tanisha Prince kutoka West Drayton, London, alikimbia na kuibuka mshindi wa mbio za umbali wa mita...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni dhahiri ratiba ya kombe la ligi ilikuwa ikipangwa kutegemea matokeo ya mechi ya timu za Azam, Simba na Yanga. Sasa timu hizo zimeotolewa katika michuano hiyo. Kwa utaratibu wa TFF mshindi ndo...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom