Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jamani tumetuma wawakilishi wetu huko ambao tunahitaji kuwashuhudia live wakijitahidi kupeperusha bendera ya Tanzania. Ni channel gani ya bongo yenye uzalendo inayoonyesha michezo hiyo??
0 Reactions
2 Replies
840 Views
REKODI 4 ZA CHRISTIANO RONALDO KWENYE SOKA AMBAZO ZITAKUA NGUMU KUVUNJWA NA MTU YOYOTE KATIKA ULIMWENGU WA SOKA. Akiwa katika ngazi ya klabu au timu ya taifa, Christiano Ronaldo anaonekana...
11 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wana JF. Nianzie kwa kuwatakia Jumapili njema...na pasaka njema kwa wale ndugu zetu wa imani hiyo. Jana nilifuatilia kwa karibu sana mechi ya Azam na Mtibwa. Mpambano ulikuwa wa...
3 Reactions
65 Replies
4K Views
Za Usiku wakuu, Jana kulikua pale Mlimani City na utoaji wa Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival, au SZIFF kwa kifupi. Tuzo hizi ziliandaliwa na kuratibiwa na kituo cha Television cha...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
ULAYA: Klabu ya soka ya Liverpool ya Uingereza imeinyuka klabu ya Manchester City ya Uingereza goli 3-0 katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya Katika mchezo huo uliofanyia katika uwanja wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba usikilize hii Audio na kutoa saport yako . Maoni yako pia siyo mbaya na kama kuna blogger atapita hapa basi naomba support yake Nimtumie Audio aniwekee kwenye blog yake. Na kama kuna...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Kitu pekee ambacho Guardiola anatakiwa awe anamshukuru Mungu...... Katika maisha yake ya ukocha. Nikupata bahati ya kumfundisha Messi. Enzi alipokuwa kwenye kilele cha kiburi, jeuri, na...
3 Reactions
0 Replies
423 Views
Eebana huyu jamaa anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka. Mgoli wake wa pili unaweza toa Harara, mapunye , utapiamlo, kaswende, kisonono, tb...
6 Reactions
29 Replies
8K Views
City anapigwa goli nyingi kama ndanda fc..Aghh!!!Raaaaahaa!Ijapokuwa mi si shabiki wa liverpool
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mtu yeyote yule uliekamilika kusikia vizuri tu hadi kufikia saa tisa ya leo tarehe 4/4/2018 hujasikia majina haya "CRISTIANO RONALDO", "CR7' au "REAL MADRID".... niPM namba yako nikutumie...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
MATOKEO: Bondia Anthony Joshua wa Uingereza amefanikiwa kuchukua mkanda wa WBO baada ya kumpiga kwa points bondia Joe Parker wa New Zealand Majaji katika ngumi hizo walimpa Joshua ushindi wa 118...
1 Reactions
90 Replies
12K Views
Salamuni..... Nimekuwa nafatilia sana michezo ya betting, na nikawa nimependelea kucheza na Bikosports. yaani, najuta hawa jamaa ni wasanii balaa. Leo kulivyo na mechi nyingi Ulaya katika nchi...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Ni kiongozi gani wa Yanga alie idhinisha kuuzwa kwa Deus Kaseke Singida United.How comes unamuuza mchezaji mwenye uwezo na msaada mkubwa katika timu kama Deus Kaseke ? Viongozi wa Yanga kama...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama ilikupita hii.....Povu la Manara kwa Abdi Banda mchezaji wa zamani wa simba anayechezea Baroka fc ya south Africa " Kumjibu mtu mjinga ni kufanana nae..ila kumwelimisha mjinga ni kumsaidia...
2 Reactions
75 Replies
11K Views
Klabu ya soka ya Real Madrid ya Uhispania imeitandika klabu ya Juventus ya Italia goli 3-0 katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya Katika mchezo huo uliofanyia katika uwanja wa nyumbani wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Heri ya pasaka wanajamvi awali ya yote ningependa kuwapa hongera timu ya Singida kwa kuwang'oa timu ya Yanga jana wakati mpira unaanza niliwaatahadharisha mapema mashabiki wa Yanga kuwa lile kombe...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
kama unajua utabaki kujua tu siku zote
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wadau App ambayo ninaweza stream online hii mechi Kali ya Leo
1 Reactions
17 Replies
2K Views
10.SOUTHAMPTON-The Saints mf..Gareth Bale,Theodor Walcott,Alex Oxlade Chamberlain,Luke Shaw.. 09.SCHALKE NULL VIER(04) Mesut Özil,Julian Draxler,Manuel Neuer,Kevin Prince Boateng.. 08.SPORTING...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom