Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Team news Spain will host Argentina at Wanda Metropolitano in Madrid, Spain, with kick-off scheduled for 8.30pm UK time on Tuesday, March 27. Lionel Messi has recovered from a muscle injury...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Hongereni vijana wa Taifa stars hakika leo tumeonyesha soka murua kabisa.Kile kipigo cha algeria lilikuwa somo zuri kwetu.Mpira tumecheza na matokeo tumepata.Taifa stars Wawa Watanzania leo hamasa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae? Aidha kasema siku hizi tuzo za mchezaji bora zina vipengele ambavyo kila saa hubadirishwa kulingana na ama CR7 au Messi...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Huyu dogo bana anajua mpira na yupo kwenye form ya hatari tangu aanze kucheza mpira magoli kafunga ya kutosha ndio aliyeivusha juve hadi robo fainali ya uefa champions league Juve wanamtegemea...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imemuita aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na soka kwenda kujitetea kuhusu rufaa aliyoikata.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Shirikisho la soka barani Ulaya(UEFA) limethibitisha kwamba timu za soka zinaweza kuweka majina 12 ya wachezaji wa ziada kwenye mechi za fainali za Ligi ya Mabigwa(UEFA Champions), Ligi ya EUROPA...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Ni Godfrey Mwashiuya ambae hapo awali alitaka hiyo Mimba itolewe lakini Mwanamke akakataa kisha akawa anamtishia huyo Mwanamke kuwa asipoitoa atamuacha lakini bado huyo Mwanamke akakomaa hadi...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wana JF, habarini wakuu! Jana nilipata nafasi ya kuangalia mechi za kirafiki lakini mechi mbili zilinivutia sana, mechi kati ya German vs Brazil na pia Spain vs Argentina. Lakini kwa mtazamo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kikosi kitakachowavaa congo leo hii 1': Mpira umeshaanza kutoka Uwanja wa Taifa 3': Msuva anachukua mpira, kwake Kapombe, piga krosi lakini kipa wa Congo anadaka 4': Kichuuya, piga shuti moja...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Wanabodi, Ni kawaida vyombo vya habari kufanya interview na wachezaji wetu wanaofanya soka lao nje ya nchi. Hivi majuzi hao Sports Extra wamemhoji Msuva. Msuva naye ili kunogesha mahojiano...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani naombeni mnisaidie kwa anaejua ofisi za Azam football club zilizo bandarini anielekeze zilipo nipo Tegeta asanteni Naombeni msaada wenu wa hali na Mali
0 Reactions
0 Replies
729 Views
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi, limetoa ratiba mpya ya marekebisho ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ikionyesha mchezo baina ya mahasimu wa jadi, Simba na Yanga sasa...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema watu wenye "ubongo" na "fikira za kuelewa mambo ya msingi" wanafahamu na kuelewa kwamba klabu hiyo imo kwenye kipindi cha mpito. Mourinho...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wachezaji wanne wamejitoa kutoka timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakipinga matayarisho mabovu kuhusika na mchezo wa kirafiki wa kimataifa likiwa ni tukio la pili kama hilo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Shirikisho letu la mpira Tanzania limekuwa la Ajabu sana jamani nini kinatusibu Tanzania jamani?? Naona Mauza uza tu
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba[emoji22][emoji22][emoji22]
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo Jumapili imemteua Athumani Nyamlani kukaimu nafasi makamu wa rais wa shirikisho hilo. Nyamlani ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Inaonakana kama Vile ..... Maandalizi yamekamilika kwa Asilimia 95% kilichobaki ni Muda kufika na Michuano kuanza lakini inaonekana kama Vyombo vya habari viko kimya Sana Hasa zikiwa...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Habari za muda huu wanasports wenzangu? Kipa hapa mbele yenu kutoa views zangu kuhusu huyu goal keeper number 1 wa Barca bwana marca Andre terstegen kwa umahiri anaouonyesha sasa ni wazi kabisa...
3 Reactions
81 Replies
10K Views
Back
Top Bottom