Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Niende kwenye point kabisa. Nazani hakuna ubishi kuwa linapokuja suala la Uzarendo, wazarendo sahii huweka kando tofauti zao na kuendelea na Uzarendo wao juu ya jambo lao. Siku mbili...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa msimu mwa msimu wa ligi wa 2016/2017 tuliona ujio wa makocha Antonio Conte na Pep Gurdiola katika ligi ya England wakiongeza chachu ya makocha wenye washindani kama vile Jose...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
-Uongozi wa klabu ya Njombe Mji hautambui kama mchezo wao na klabu ya Simba Sc utachezwa April 03 katika dimba la Sabasaba mkoani Njombe. -Uongozi wa klabu hiyo umedai haujapokea barua yoyote...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini, Kama nilivyosema hapo juu, Nataka nianze kushiriki mbio hizi, nafahamu humu kuna wadau wa rally sasa nipeni mwongozo pa kuanzia kujiunga na mshindano haya pia wadau wengi mna prefer...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Iv nan mwenye taarifa juu ya mchezo wa mbio za magar nnchin maana nmeona kimya cjackia hayo mambo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Okwinyoooooo
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Fuata link hii chini. MSIMU HUU WENGER AKILEGEA HAINGII TOP FOUR
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Wanabodi, Leo kuanzia saa 12 jioni kwa saa za Africa Mashariki kutakua na tukio la upangaji wa makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini Russia. Katika...
3 Reactions
209 Replies
33K Views
: NAHODHA wa Juventus Gianluigi Buffon,ameweza kumuelezea nyoto wa Barcelona Lionel Messi, kwamba ni mchezaji aliyekamilika kiufundi zaidi kuliko ‘muuaji’ Cristiano Ronaldo wa Real Madrid. Hakuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wapendwa! Nipo hapa kuleta uchambuzi wa ninachokiona kuelekea WC huko Russia kwa mbambe Putin Kwa nilivyoangalia mechi ya jana ya kirafiki kati ya spain vs Germany nimegundua...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimesikiliza na kusoma habari nyingi za michezo hasa baada ya Taifa Stars kuikosakosa Algeria kule kaskazini, kilichonikera ni jinsi watu wanavoandika na kukomenti vibaya kuhusu timu yetu ya taifa...
3 Reactions
4 Replies
896 Views
Habari wana JF na wanamichezo kwa ujumla, Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya timu yetu ya taifa maalufu kama Taifa Stars,naona tunarudi nyuma kwakasi zaidi kuliko kusonga mbele.Sina hakika kama...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Timu ya Taifa(Taifa Stars) imeambulia kipigo cha mabao 4 kwa 1 kutoka kwa timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kirafiki > Goli pekee la kufutia machozi la Taifa Stars limefungwa na Simon...
2 Reactions
145 Replies
13K Views
Msimu wa ligi ulivyoanza timu ya Simba ilikuwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mashindano yote anayoshiriki, lakini imekuwa tofauti, Kombe la mapinduzi Simba ndiyo alianza kuaga...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Taarifa zinasema Zlatan Ibrahimovic inaweza kufikia mwisho wiki hii na kuondoka kwenda ligi ya soka ya Marekani Taarifa kutoka mtandao wa ESPN zilisema kuwa Zlatan amecheza mchezo wake wa mwisho...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
UKIINGIA M-BET] SASAHIVI UTAKUTANA NA MECHI YA ALGERIA vs TANZANIA sasa ipo hivi! ALGERIA win 1.17 Droo 6.00 TANZANIA win 11.50 Tanzania akishinda napokea 1,000,00 laki moja tz!!
2 Reactions
37 Replies
5K Views
DAR ES SALAAM Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), jana liligawa mamilioni ya Shilingi kwa wahariri wa michezo wa vyombo mbalimbali vya habari za michezo waliohudhuria mkutano uliotishwa na Rais...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga imepangwa kucheza na timu ya Wolaitta Dicha SC ya nchini Ethiopia katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika > Yanga inashirki michuano hii babaada ya kuondolewa katika...
2 Reactions
43 Replies
11K Views
wadau wa soka tujulishane channel itakayoonyesha game la kesho kati ya Tanzania na Algeria na muda utakaoanza.
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom