Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Township Rollers 0 - 0 Yanga SC (Agg; 2 - 1) 01': Mpira umeanza hapa 02': Dakika ya pili ya mchezo, mpira unaendelea 03': Township wanamiliki mpira eneo la kati, unapigwa kwenda mbele lakini...
1 Reactions
88 Replies
17K Views
Muda mfupi baada ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumfungia kifungo cha maisha Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura ameibuka na kudai kuwa uamuzi huo ni...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Baada ya kuona jinsi alivyowapeleka mbio kwenye mechi za Dar na Port Said, Al Masry wanataka kumnunua Okwi toka Simba. Hakuna shaka Okwi ni mchezaji mahiri lakini hawajui utovu wake wa nidhamu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa wadao wanaofanya michezo ya betting kupitia makampuni ya betting hapa Tanzania, cha kusikitisha kuna kampuni moja kubwa ya betting hapa nchini inajulikana kwa jina la PREMIERE...
0 Reactions
36 Replies
58K Views
Ni vita ndani ya epl msimu huu.. Wanaume watatu, Mo salah, Harry Kane na Sergio Aguero wanaonekana kuwa wa moto wote wakiwa na uchu wa kichukua kiatu cha dhahabu.. Salah kutoka Liverpool akiwa na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu. Kosa la...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Hiistoria haijapinduliwa, timu zetu zote simba na yanga hakuna iliyofurukuta wala yenye afadhali. Nini na wapi tunakosea?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hiki ni kikosi cha Ghana kilichoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2010 pale bondeni South Africa na safari yao ilisitishwa robo fainali na Uruguay baada ya Luis Suarez kudaka mpira uliokuwa unaenda...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Blanket limekuwa white badala ya green, baridi ni kali sana. Jirani zangu pambaneni makombe yote yaje Manchester. EFL,EPL,UCL > Manchester City, FA > Manchester United.
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Habar za jioni wadau wa sports, Mechi ya marudiano kati ya Simba Sc na Al Masri utakaochezwa Jumamosi tarehe 17/3/2018 saa 2.30 usiku saa za afrika mashariki utarushwa live na channel moja ya...
9 Reactions
142 Replies
26K Views
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Wapendwa!!! Mimi ni shabiki wa simba damu Ila Nmeota hivi Al Masry-Simba 0-2 T.Rollers v Yanga 1-1 . . Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Nasema kuanzia jana na hadi mwisho wa mkataba wako kamwe sitakuwa mshabiki wako kabisaaa Ujinga na upumbavu ulionesha jana kwa makusudi yako ndiyo yameipa timu aibu na kutolewa kipumbavu wakat...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndio nimeamini mpira wa Tanzania utabaki mdomon tu Klabu iliyojizolea mashabiki lukuki kwa muda mfupi singida united Sasa inaporomoka kwa kasi tungekuwa bado tupo raund ya kwanza Nina uhakika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Historia yake ni mitifuano tangu FAT na sasa TFF. Hivi hakuna kazi ingine anawezafanya? Tumechoka kusikia majina yaleyale miaka ndenda rudi huku mpira wetu ukiendelea kubaki palepale.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
My take: Endapo Abrahmovic (mmiliki wa Chelsea) atashindwa kujieleza utajiri wake kaupataje, inaweza kupelekea anguko kuu la Chelsea FC siku si nyingi. Waingereza sasa wameamua kama mbwai na iwe...
1 Reactions
1 Replies
686 Views
Nadhani sote ni mashahidi wa kelele zilizopigwa humu baada ya England kuingiza timu zake 5 kwenye hatua ya mtoano. kelele mzilipigwa kwelikweli, kuwa England imerudi tena, mara spain hamna kitu...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? Baada ya kupatikana timu 8 katika mashindano ya uefa champions league Kesho tarehe 16 March kuanzia saa saba kamili mchana kutakuwa na upangaji wa mechi katika hatua ya...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Michael Wambura ameeleza suala Kamati ya Maadili ya shirikisho ni la kimkakati zaidi na si la kisheria. Akizungumza leo jijini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom