Jana mechi kati ya ManU na Real Madrid ilikuwa ni kuonesha ligi gani bora. Kwa kweli La Liga imedhihirisha kuwa ni zaidi ya EPL kwani Real Madrid ya tatu na ManU wanaongoza katika ligi zao hivi sasa.
01': Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar imeanza hivi punde
04': Haji Mwinyi anarusha mpira kuelekea lango la Kagera baada ya kutolewa, anauchukua Ajib, Ajib anapasia langoni mwa wapinzani, wanaokoa...
Kwa wale mashabiki wenzangu wa man utd ,mwaka huu tuhesabu maumivu tu,kwani kwa mpira niliouona jana! na huu ushindi wa kibao kimoja kimoja basi!
Kwani timu wazee wamekuwa wengi ukianzia rio...
Wakuu!PAULO DYBALA NA NEIMAR JR MKALI NANI?
Paulo Bruno Exequiel Dybala (Spanish pronunciation: [ˈpaulo ðiˈβala];[a] born 15 November 1993) is an Argentine professional footballer who plays as a...
Hili la uboya linawahusu sana wale wa rika langu... ambao huenda hawakuijua Arsenal hadi wapo wavulana wakubwa!
Hivi unaweza kueleza watu hapa ilikuwaje kuwaje na lini ulianza kuwa na mahaba na...
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta...
Hivi ni kweli Michael Carrick katika ubora wake ule katika nafasi ya Holding Midfielder kwanini hakupata nafasi ya kuchezea timu ya taifa ya England?
Carrick anajua kukaba, anajua kuziba nafasi...
Shirikisho la soka nchini TFF kupitia kwa Kamati ya Tuzo imemtangaza kiungo wa kimataifa wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu kwa mwezi Februari.
Tshishimbi amefanikiwa...
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni...
Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala...
UGIRIKI: Goli lililokataliwa katika mchezo uliohusisha PAOK dhidi AEK Athens lasababisha Mmiliki wa klabu ya PAOK kuingia Uwanjani mara mbili huku akitoa bastola akitaka kumkabili Mwamuzi wa...
Roma win over shakhter
Man utd win over sevila
Sochaux win over auxerre
AIK Stockholm win over Orebro
Wolves double chance over Reading
Aston villa double chance over QPR
Plackpool vs...
Habar wakuu,bila shaka hakuna atakayebisha kuwa Kigoma imejariwa kuwa na wachezaji wazuri na tegemeo.Lakini wachezaji wengi wameponzwa na uongoz wa michezo mkoa.Kuna mtendaji mkuu ambaye ni Karibu...
Huwa nawazaga saaana nakosa majibu.
Hivi ni nani aliykuja na wazo la kujenga uwanja wa taifa pembezoni mwa uwanja wa karume(shamba la bibi)
Hivi ni kwanini wasingeuboresha ule uliokuwepo mwanzo...
Kwa mara ya kwa toka ligi ianze msimu wa 2017-2018 timu yanga leo itapata nafasi ya kuchukua uongozi wa ligi kwa kuifunga timu ya Stend United ya Shinyanga .
Yanga inahitaji ushindi magili 14-0...
Pamoja na kusoma masomo ya Sayansi na Sanaa (Arts) katika maisha ya sekondary lakini nilipenda kweli masomo ya Sanaa kama History na Geography tangu primary mpaka sasa sijawahi kuachwa nyuma...
Kiungo wa Manchester United Michael Carrick amethibitisha kustaafu kucheza soka mwisho wa msimu huu 2017/2018
Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza ametangaza hivyo leo wakati wa...
Wanajangwani mpoo? Leo tunaua tena , ili mikia wakija wacheze kwa presha ya juu, maana kwa kawaida ngoma ya watoto haikeshi..... Tukutane taifaa, emmmmyyytaaaa watani hawalali siku hizi...
Hizi timu zina kawaida ya kuanza ligi kwa ushindi mfululizo ,lakini ligi ikifika kalibu mwisho pumzi zinakata tatizo sijui linakuwa nini!!??
Hasa hawapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.