Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni hivi juzi tu Benchi la ufundi la Ngorongoro Heroes limewaita wachezaji wataotuwakilisha dhidi ya DR Congo kwenye Mechi za kufuzu Africa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 20...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva amelazwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Hayo yameelezwa leo Machi 8 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Posho za Rollers, mishahara Yanga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yanga imefungwa bao 2-1 nyumbani na Simba imetoka sare ya 2-2 na wapinzani wao. Hivyo timu zetu zote ni kama tu zimefungwa nyumbani zikitarajia kupindua matokeo kwenye mechi zao za marudiano...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Hivi ni kwanini Viongozi wa Simba SC ( Timu yangu Kipenzi kabisa ) huwa hamna utaratibu wa kupitia Mtandao huu wa JamiiForums ili muwe mnatusoma akina GENTAMYCINE na ' Wadau ' wengine wa mpira ili...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakuu nimekuwa mwanamichezo kwa muda sasa huku nikipenda kufuatilia vipindi vya michezo kutoka vyombo vya habari hapa nchini, kwa hakika mwanzo nilivutiwa sana na sport extra ya clouds fm...
3 Reactions
37 Replies
10K Views
Hongereni wana simba kwa matokeo mazuri.Cha msingi ni kujipanga upya kimkakati ili kupata matokeo mazuri zaidi ! Jioni njema
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mechi ya kwanza tatizo lilikuwa na utoto wa Neymar Jr kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu naa kuigharimu timu yake. Ila kwa leo kwa kuwa hayupo, nina imani asilimia 90, nafasi yake akipangwa...
4 Reactions
111 Replies
13K Views
Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Dar es salaam, kimepiga marufuku vikundi vyovyote vinavyoathiri vikiwemo vile vya mazoezi ya kukimbia bila kupata kibali. Mkuu wa kikosi cha usalama...
5 Reactions
97 Replies
16K Views
Ametamba sana katika Vilabu vya Fulham na West Ham ndani ya EPL, Je huyu ni nani? Wapenzi wa EPL kitambo karibuni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkandile pierre a.k.a laurent kabanda Steven bengo Yaw berko Jaja Coutinho Kenneth asamoah Obren curkovic Haruna niyonzima Bonifasi ambani Davies mwape
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Huyu hapa na vijana wenzake , ameomba radhi na mwalimu amemsamehe, haya sasa wale sijui oh jamaa anakwenda Yanga, hivi ngoja niwaulize swali hivi kuna mtu anapenda njaa?.Anajua upande wa pili...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakati tunakua mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 tuliaminishwa na kaka zetu na baba zetu wa kisoka zaidi kwamba enzi za mfumo unaomtumia namba 6 kama mkabaji basi lazima...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro . Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba...
10 Reactions
137 Replies
15K Views
Kila shabiki wa Yanga anafahamu kilichotokea kwa mdhamini wa klabu. Mashabiki wa Yanga wako tayari kutoa michango kwa hiari kuichangia timu yao ifanye vizuri kwenye ligi na mechi za kitaifa kama...
5 Reactions
20 Replies
38K Views
Klabu ya Al Masry ya nchini Misri imewasili salama bin salmini jijini Dar es salaam tayari kuwavaa simba sc.Klabu ya Al masry imewasili na nyota wao Islam Salah mdogo wake Mohammed Salah wa...
1 Reactions
71 Replies
11K Views
  • Closed
Leo inaweza kuwa siku ya mwisho ya matumaini ya Zidane ndani ya Madrid Siyo Zidane Tu Bali Ronaldo ataangalia mstakabari wa maisha yake uko kwingineko ama marekani au kukipiga uarabuni Leo Psg...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Kwa Yanga hakuna tatizo sana maana ni maajabu pekee ndiyo yatakayowavusha ifahamike kuwa maajabu pia yapo katika soka hivyo kwa mtindo huo Yanga ana asilimia 45% ya kuvuka hatua inayofuata...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mechi ya klabu bingwa iliyochezwa Burundi chini ya Waamuzi toka Tanzania wametuhumiwa kwa mambo ya rushwa na upangaji matokeo.Waamuzi hao ni Israel Nkongo Mujuni (Kati), Soud Lila (Assistance...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom