Wala sitaki Kuzunguka sana katika hili ila miaka mitatu minne iliyopita wakati nikiwa busy na masuala ya Mpira hasa huu wa Bongo ( VPL ) kupitia Klabu yangu pendwa kabisa ( ambayo kila Member humu...
Kivipi mtuaminishe kua kamusoko atakuwepo kikosi kinatoka hayupo hata bench? Nilikua nakuja uwanjani lakini siji tena,pato ngonyani mzito sana kama hawa jamaa wanakasi basi tunakufa...golini...
Waamuzi wa Tanzania waliochezesha mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya LLB ACADEMIC ya Burundi dhidi ya RAYON SPORTS ya Rwanda wako hatarini kufungiwa na shirikisho la soka barani...
habari wakuu!!hope ni wazima wa afya njema...
wadau mimi ni mdau wa jogging na mazoezi kwa ujumla nimekuwa nikifanya mazoezi mbalimbali hasa kukimbia sasa juzi hapa nimeangalia hii kili marathon...
Habari wadau!!
Ni kuelekelea mechi za Kimataifa .. Waelewe mchezo muhïmu na wenye kupata magoli mengi ni huu wa nyumbani...
Wasijisahau kumaliza mechi mapema magoli Matatu(3) na zaidi ili...
Hapa akiwa na mke wake
Huyu ni mchezaji aliyeng'ara sana katika kipindi cha nyuma katika kusakata kabumbu hapa barani Afrika akitokea nchi mojawapo mwa miongoni mwa nchi za Afrika Magharibi. Kwa...
Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara imemtangaza Waziri wa Kilimo Charlse Tizeba kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry Jumatano Machi 7...
Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu...
Ajali kwenye mbio za magari yaliyokuwa yanafanyika Tanga yameacha majeruhi 4 waliovunjika mguu na kifo cha kijana mmoja.Huku binti mmoja akinusurika baada ya gari kuruka na kupaa juu yake...
Huku kukiwa na pilika pilika ya vilabu vya EPL kufanya usajili vikijiwinda kuanza kwa MSIMU mpya wa ligi 2016/2017.. Lakini klabu yangu pendwa niliyo na mahaba nayo CHELSEA mpaka sasa imefanya...
msaada jamani kuna makala za wachezaji wetu wanaocheza nje simon msuva na abdi banda zinaendelea kwenye magazeti haya huko nilipo magazeti hayafiki anaesoma makala hizi anirushie na mm nisome.
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 3 – 0 dhidi ya Arsenal mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliyopigwa katika dimba la Emirates.
City inafanikiwa kuchomoza na...
Timu ya taifa ( Taifa stars, Twiga stars, Serengeti boys, Ngorongoro heroes nk) kwa nini zinakuwepo wakati wa mashindano tu, ina maana TFF wanaendeleza mchezo wa soccer kwa kiwango cha TAIFA kwa...
Jamani,nawaza tu!
Hali itakuwaje km Simba na kwa maandalizi,mbwembwe na kujiamini kwao huko endapo hawatakuwa mabingwa tena msimu huu!
Kisha Yanga pia kwa mara nyingine tena itakuwaje km...
Tanzania tunasikitisha, hatuwezi kila kitu, hii ni pamoja na mpira. Pamoja na Tanzania kusifika kuwa kisiwa cha amani kwanini Makocha na wachezaji wetu makini mwenye timu zetu sio watanzania...
Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa #Barcelona ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au #Laliga? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye...
.
Miaka kadhaa ya nyuma ukiskia kuna game kama ya hivi leo AC Milan vs Inter Milan.. basi hizi game zetu uchwara za kina Man City vs Chelsea & Barca bs Atletico huwa hazina nafasi kwiki hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.