Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezaji wa Zamani wa timu ya Simba SC na timu ya Taifa ya Tanzania, Arthur Mambeta amefariki dunia baada ya kuugua kwa kipindi kirefu jijini Dar es Salaam. Kutoka na taarifa hizo, Afisa habari...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
Kiboko ya timu za Uingereza katika UEFA Champions League-King Messi/La Pulga.
2 Reactions
20 Replies
6K Views
My take: Hivi siasa ina undugu na uongo? Si ni huyu Ndumbaro aliyefungiwa na Malinzi akitetea haki za vilabu kwenye suala la haki za matangazo? Yamemkuta yapi? Au ndo Siasa? Ndugu yangu Amri...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Habar zenu ndg,naomba kuuliza " mtu anaeajiliwa kwenye hizi sports games...kaz yake ni ipi???pia naomba kujua hizi games zipo ktk category ngapi!???mshahara wa huyu mtu unaweza kuwa sh ngapi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dk 1 Ndanda FC ndiyo wanaanza kushambulia kwa kasi Dk 3, Ngassa anaachia mkwaju mkali, nusura afunge lakini hakuwa makini Dk 4, Ngassa tena anaingia vizuri, anapiga shuti la chinichini, goal...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Kama wewe ni shabiki haswaa wa Man City Barcelona Real Madrid Man United Chelsea Tottenham Arsenal n.k Nikimtoa LEO MESSI, waliobakia wote Je! Ni yupi kati ya hawa ungependa aje aichezee timu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ian Wright: Hakuna sababu ya Arsene Wenger kusalia Arsenal
0 Reactions
0 Replies
479 Views
WADAU WENZANGU HESHIMA KWENU! 1-LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA 2-DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN BOY Tangu soka lianze hapa ulimwenguni. Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme...
9 Reactions
462 Replies
64K Views
Leo ni kiputwe cha ligi kuu soka Tanzania Bara ambapo wekundu wa msimbazi Simba inawakaribisha Mbao FC kutoka jijini Mwanza. Mbao ikiwa kama timu iliyoleta changamoto kwa Timu kubwa za Kariako...
8 Reactions
161 Replies
26K Views
Kocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ametangaza rasmi kuacha kufundisha soka la Tanzania kutokana na maamuzi mabovu katika baadhi ya michezo ligi kuu Tanzania bara. “Kuanzia leo na...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Kipigo hiki kinakukumbusha nini mwanaJF?
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Umoja katika jamii yoyote ni muhimu sana kwa ajili ya kuwasilisha maoni na pia kusaidiana wanachama kwa hali na mali. Nasi tunaanzisha umoja wetu, kwa kuanzia viongozi wetu wa muda watakuwa kama...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama ulicheck hii game ambayo kiukweli ilikuwa kali sana japo mazembe alionekana kuzidiwa, sasa kuna penalty ya 2 waliyopewa Casablanca, baada ya refa kupuliza kipyenga kuashiria penalty ipigwe na...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Vijijini/mtaani,kuna mapande ya wachezaji wazuri sana,lakn hawajulikani kitaifa,wakati mwingine mpaka wanasitaafu soka bila kujulikana!! Nawakumbuka sana wakongwe wa kijijini kwetu,enzi za akina...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Wandugu kuna rekodi mbali mbali za soka la bongo nahitaji kuzifahamu. Nna uhakika pia zitakuwa ni muhimu kwa wale wasiojua kama mimi. Rekodi hizo ni zifuatazo 1. Mfungaji wa muda wote wa timu ya...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Hbr wakuu, leo kuna fainali ya kikombe cha ligi zamani kikiitwa Carling cup na sasa kinaitwa Carabao cup chini ya uzamini wa kinywaji cha Carabao. Nimejaribu kucheck kwenye Dstv ratiba ila...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Je, Unafuatilia habari za michezo ndani na Nje ya Tanzania ? Unapenda kuandika habari hizo kwenye Tovuti? Basi kurunzitz.com ni tovuti inayoandika Habari za michezo za nje na ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
781 Views
Tunahitaji kuanza kuwafanyia tathmini kwa huko tulikotoka na yale waliyoyaahaidi, ikiwa inaelekea miezi 7 sasa tunahitaji kuambiwa nini mwelekeo wao hadi sasa na vipi nafasi ya timu yetu ya taifa...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake. Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano? Je, ni kutokana na uzuri...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
http://kurunzitz.com/antonio-conte-amchana-jose-mourinho-kuelekea-mchezo-wa-epl-united-vs-chelsea/
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom