Timu za jeshi ni vigumu kwao kuchukua ubingwa kutokana na kutumia wachezaji wa ndani ya nchi tu. Badala yake Zalisheni wachezaji wengi zaidi wa kuziuzia timu nyingine kwa bei kubwa. Hii...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametaja viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya vijana chini ya miaka 17 katika fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon)...
Mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho kati ya Simba dhidi ya Al Masry utapigwa Ijumaa ya March 09 kwenye uwanja wa Taifa kulingana na mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na shirikisho la soka...
Mwenye kujua ofisi za meridianbet zilipo anisaidie, nimebugi katika kuweka pesa nimekosea id badala ya 1476251 nimeweka 1475261, nimejaribu kuwapigia simu wanadai hawawezi kurejesha hiyo pesa kisa...
Shirikisho la soka Barani Afrika limeithibitishia Simba SC tarehe rasmi ya michezo yao miwili ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry ya Misri, ambapo mechi ya kwanza itapigwa Dar es salaam na...
Wakuu habari za week end. Natumaini wote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo ningependa Ku share kidogo mawazo yangu kwenye mchezo wetu Wa soka tuupendao sana. Huu mchezo...
Natoa wito kwa waandishi wote makini wa michezo kutumia ujio wa MaRais wa CAF na FIFA kujua ukweli na hatima ya uanachama wa Zanzibar kwenye vyama hivyo .
Mpuuzeni Rais wa TFF na propaganda zake...
As team we can make it. naomben michango yenu ya hali na mali katika hili
mechi ni za kesho ila nngependa mapendekezo yenu kabla ya maamuz yangu binafs
Kwa upande wangu,makao makuu ya TFF bado sana,ie poor!!! ni heri Rais wa FIFA angepelekwa hotelini,na kikao kifanyikie hotelini,samahani kama ntakuwa nimewakwaza!!!ila makao makuu ya TFF...
Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah
Pale ndani...
Timu za yanga na simba au azamu ukisikia vyombo vya habari vikivizungumzia utafikiri ni bonge la timu na utafikiri wanapiga bonge la mpira ila Leo nimecheki yanga ikicheza nimeona hamna kitu bora...
Hii ni rai kwa viongozi wa klabi ya Yanga kuwa tumechoshwa na matusi ya Msemaji wa watani wetu Haji Manara katika mitandao ya kijamii.
Mara kwa mara amekuwa akipost picha za kuwakebehi wachezaji...
Ratiba inaonesha kuwa matangazo ya mechi yataanza saa 10.30 kwa saa
za Afrika mashariki Live ndani ya AZAM SPORT2. Kutokana na majira tuliyonayo
ya mvua na matatizo ya umeme huenda baadhi ya...
Kila mwenye macho bila shaka anajiuliza kama mimi .
Hivi unaacha mchezaji mzuri akatumikie mkopo halafu unachukua galasa kama lile la kazi gani ? wazungu hulogana pia ?
Kama siyo njama basi...
Simba VS Azam: Leo ni vita kati ya kinara wa ligi kuu, Mnyama Simba dhidi ya Wanalambalamba wanaotaka kurejea nafasi ya pili baada ya jana Yanga SC kuikwea. Azam FC anahitaji ushindi ili kurejea...
Kinyota Simba jana ilitakiwa kufungwa na Mwadui, penalti imewaokoa. Safari yao ya kuelekea kuendelea kubaki mchangani ndiyo imeanzia pale. Kisingizio ni kuumia kwa Bocco na kukosekana kwa Mkude tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.