Kila la heri Klabu zetu Tanzania Simba SC na Yanga FC kutuwakilisha kimataifa. Kikosi cha Yanga kilikuwa kikitua mchana wa leo katika uwanja wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tayari kwa safari...
Naangalia mtanange wa Uefa hapa kati ya Real Madrid Vs Psg naona Neymar licha ya kuwa na kipaji kikubwa bado ndani ya uwanja ameshindwa kuonesha thamani yake zaidi ya kufanya utoto mwingi kama...
Wengi wameshangazwa na matokeo ya jana Wigan kumfunga Man City 1-0. Lakini mwaka 2013 kwenye fainali za FA kati ya timu mbili hizo Wigan alimfunga City 1-0 na kutwaa kombe huku Zabaleta akitolewa...
Tangu aandamwe na majeruhi ya kufuruliza, Samata ameonekana kutokuwa kwenye form yake,Swali,je kwa style hii atatimiza ndoto zake za kucheza EPL? au ndo mwelekeo wa kupotea kama enzi za akina...
Mabingwa watetezi wa La Liga klabu ya Real Madrid jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-3, dhidi ya Real Betis na kufanikiwa kuwa klabu ya kwanza kufikisha mabao 6,000 ya kufunga kwenye ligi hiyo...
Kwa wale waliopitia sheria17 za football tujuzeni alichofanya refa jana ni sahihi kwa kitendo cha kukumbatia mpira then anapiga filimbi kumaliza game! Ila munyama Jana dk za nyongeza alibanwa
Ziko timu ambazo zinanunua kila mchezaji anaewafunga au kuwasumbua kwenye kila mechi. Wanatumia hela zao kuzoofisha timu ndogo kwenye ligi na kuidhoofisha ligi pia. Timu kama hizi zinanunua...
FC Astana 1 - 3 Sporting CP
FT Borussia Dortmund 3 - 2 Atalanta
FT Ludogorets Razgrad 0 - 3AC Milan
FT Marseille 3 - 0 Braga
FT Nice 2 - 3Lokomotiv Moscow
FT Oestersunds FK 0 - 3Arsenal
FT...
Ndugu wana Jf leo nimefurahishwa sana na matokeo ya Newcastle 02 vs Chelsea 01, hawa mashabik wa chelsea mtaani palikuwa hapatoshi mara ooh tunavunja rekod ya Arsenal mara ooh blah blah kibao...
Man United 4-0 West Ham
Swansea 0-4 Man United
Man United 4-0 Everton.......
Manchester United tumapata Coach bana Mourinho atakua ni mrithi sahihi wa Mikoba ya Ferguson.
:
:
Liverpool 0-0 Man...
Bila kupoteza muda wakati watoto wa tulia wala maparachichi wakipigwa nani atakuwa bingwa mbele ya rais wa FIFA Mimi mzigo wangu naweka kwa goms united!!! Weka na wewe utabiri wako karibuni wana JF
Niko hapa uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga ambapo leo timu ya Mwadui FC inamkaribisha mnyama mkali wa mwituni, Simba SC na nitakuwa nakuletea mubashara yale yanayojiri mpaka pale mchuano...
Kwakweli Tangu mpira ulipoanza kuchezwa ,Imejipatia Mashabiki kila Pembe Ya Dunia.Na Burudani hasa kwa wale Mashabiki wa Mpira wenyewe.
Lakini Burudani huongezeka pale kunapotokea Wanaume ambao...
Neyma ni Kijana mahiri sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,
Mpira aliocheza Neymar jana watu ambao hawakuona mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama
Katika mechi ya Jana kuna...
Ngoja nikupe hii Ronaldo katika michuano ya UEFA, mechi zote alizocheza amekutana na timu 137 na izo timu kuzifunga jumla ya goli 117 ambapo hakuna team yoyote iliyofunga au iliyofikisha idadi...
nimezungumza na washabiki mbali mbali wa madrid,
nilichogundua hawa jamaa wanaiamini timu yao kupita kiasi hasa kwenye UEFA licha ya performance mbovu ya msimu huu.
Je kitu gani wanajivunia...
Katika hali ya kushangaza mechi ya Njombe mji na majimaji ilitawaliwa na fujo ,mashabiki wa timu ya majimaji kudai taulo la goli kipa wa Njombe mji aliloliweka pembezoni mwa goli kwaajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.