Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa...
Nimesikitishwa sana na fitina ,uzushi unaoendeshwa na mdau hapa JF kuhusiana na katibu mkuu Wilfred Kidau..mdau anasema Kidau ni mburundi hivyo hafai kuwa katibu mkuu wa Tff
1.Wilfred Kidau ni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ameeleza kufurahishwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Africa kati ya Simba SC na Gendarmerie ya nchini D’jbout ambapo Simba...
Rollers fc ya Botswana wameitandika el merreick ya sudan bao 3-0 ,mshindi kati ya timu hizi watakutana na Dar young African
Aidha
El masry ya nchini Misry imeifurumusha Green Buffaloes ya...
Droo ya mechi za klabu bingwa na shirikishi barani Afrika imekamilika leo huko Misri. wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa ni Dar es Salaam ambao hatua ya awali wamepangiwa na...
Yule mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Burkina Faso, Aristides Bance, huenda akatua nchini kuikabili Simba SC katika kombe la Shirikisho Afrika iwapo mambo yatakwenda vyema kama yalivyoanza...
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amekiri kufuta kauli yake iliyodumu kwa takribani miaka 30 kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu na haitakaa ifanye vizuri kwenye michezo...
Achana na mastori ya Yanga kujipa moyo kwamba Gendarmerie ni kibonde. Unaweza kuona trend ya matokeo yao kule kwao ukapata picha.
Ushindi mkubwa wa Simba haumaanishi hii timu ni KIBONDE bali ni...
Klabu ya Difaa el jadidi ya nchini morocco Jana walicheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya CAF dhidi ya klabu ya sport bissau Benfica ya nchini Guine na klabu ya Difaa kushinda kwa idadi ya...
Hawa jamaa hela walizonunuliwa na wanachokicheza uwanjani ni vitu viwili tofauti. Rejea mechi ya Super cup.
Hasa huyu Pogba anaigharimu sana timu kwenye mechi kubwa. Mou asipoangalia tabia yake...
Baada ya uwanja wa Taifa kufungwa kwa kipindi, leo unafunguliwa kwa Simba kuikaribisha moja ya timu kali kwa sasa, Singida Utd. Azam ambao watakuwa na mechi ya mapema leo dhidi ya majimaji...
Wanamsimbazi twendeni, tukawape motisha wachezaji wetu, na timu kijumla.
Utofauti wetu na vilabu vingine ni pamoja kuwa na mashabiki kama sisi, kwahiyo basi twendeni tukawape hamasa wechezaji...
Mchezo uliopamba moto hivi sasa wa bahati nasibu ya Biko ukimaliza miezi sita kuanzia sasa mimi najitoa JF!
Ninatabiri kuwa in the next coming six month, mchezo huu utakuwa umeshakufa kibudu.
Huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.