Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu...
8 Reactions
83 Replies
7K Views
Miaka miwili nyuma kwenye mechi za preseason au kwenye kombe la fa sina uhakika simba walienda Arusha kucheza na klabu ya madini fc ya Arusha inayoshiriki ligi daraja la kwanza. Kwenye mechi ile...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Madrid ni km Nyani zee lililokwepa mishale mingi na kukutana na misuko suko tele na akaimudu.. Na mwendo wake huu huu wa ngarawa mwsho wa msimu tunaskia record ya kuchukua ndoo mara 3 mfululizo...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ndani ya klabu ya Simba Haji Manara amesema Simba sio timu ya kwanza kutoa sare au kufungwa na Mwadui hivyo mashabiki wasiongee sana. Kupitia moja ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wamatopeni a.k.a wazee wakuonewa mpooo! Yale malalamiko yetu yaleeee na barua zetu zileeee na ubingwa fake wa sisi yebo uleee-mtu sahihi yupo njiani. Shime manyara a.k.a domo kaya,fasta...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa nini alichelewa ndege? Ushamba wa kutopanda ndege na kutokuzingatia mda? Au ni hujuma kwa kushirikiana na watu wa njano?
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeshindwa kuamini kama haya ndo maisha halisi ya Majimaji FC ama maigizo? Kweli Premier League unaenda kucheza na Yanga katika haya mazingira?
2 Reactions
19 Replies
5K Views
MWADUI 2 SIMBA 2 (Bocco, Okwi) wanawazidi Yanga points 5 tu Sasa wakishangaa tu wapepitwa. povu linaruhusiwa
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) kupitia Kamati yake ya Nidhamu imemshushia adhabu kali mchezaji wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kwa kosa la kumpiga shabiki baada ya mechi kati ya timu yake...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hakuna mahali popote katika dunia hii ambako siasa ilichanganywa na mpira wa miguu na kukapatikana mafanikio, ndio maana kuna uongozi wa kisiasa unaopiganiwa majukwaani kama kinyang'anyiro cha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kutokana na uchambuzi uliofanywa (na unaoendelea kufanywa) na mtandao wa "You Are The Ref" kwenye mwenendo wa ligi kuu ya England (EPL), msimu huu maamuzi mabovu ya marefa yameibeba sana Man...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kamati ya mashindano ya TFF iliyokutana Februari 13, 2018 pamoja na mambo mengine ilipitia taarifa za mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam kati ya Green Warriors na Singida United ambapo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mke wangu hataki kabisa niende bar kuangalia mechi za UEFA champions league,nikitaka kuondoka huwa ananishutumu kuwa nitaenda kutongaza ma bar maids,nyumbani tuna king'amuzi cha azam,sasa nataka...
0 Reactions
38 Replies
13K Views
Ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja wa mzunguuko wa 18 kati ya mabingwa watetezi Young Africans ambao walikua nyumbani uwnaja wa Taifa jijini Dar es salaam...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kubeti anifundishe hatua kwa hatua, kwa kupitia simu ya mkononi
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Kama huna jicho la 3 huwezi kung'amua hili , Kunyimwa uwanja wa mazoezi hakukuja hivihivi tu , ulikuwa mpango maalum wa kuikomoa timu hiyo kutokana na matatizo ya Manji na chama cha kisiasa cha...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Tuna theluji na baridi ya kutosha juu ya mlima Kilimanjaro. Kamati ya Olympic na Bodi ya Utalii ikishifikiana na Mamlaka ya KINAPA, huu ndio wakati wa ku plan, Winter Olympic Kilimanjaro 2050.
1 Reactions
2 Replies
838 Views
Kwa siku za karibuni nimeshuhudia vilabu vingi barani Ulaya vikitumia mfumo wa 3-4-3. Makocha wengine wameuboresha na kuwa 3-5-2. Mfumo huu wa 3-4-3 yaani kuwa na Mabeki watatu, Viungo wanne na...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Back
Top Bottom