Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu Ifuatayo ni orodha ya wachezaji...
3 Reactions
51 Replies
14K Views
Wiki hii tutashuhudia wawakilishi wetu kimataifa Simba na Yanga zikijitupa uwanjani kucheza mechi za kimataifa. Yanga leo itacheza na Washelisheli na kesho Simba itacheza na Wadjibuti katika...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiukweli kama kuna kocha ambae analala bila kujua kesho yake ataamkaje yani kama bado yuko katika kibarua basi ni muitaliano Antonio Conte kocha mkuu wa Chelsea kwa sasa. Yuko na wakati mgumu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya...
3 Reactions
216 Replies
32K Views
Wale wa penati, sijui offside let's listen to this Gentlemen Osman Kazi. Baadae tujadili
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Namkubali sana Haji Sunday Manala. Ananogesha sana mpira wa Bongo
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Dk 1, mechi ndiyo imeanza na Yanga wanaanza kujipanga wakitaka bao la mapema Dk 2 krosi safi ya Buswita, walinzi St Louis wanazembea na Raphael Daud anachelewa Dk 2 Tshishimbi anaachia mkwaju...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Nitawadharau na kuwapuuza mno Watu ambao wanajiita ni wa Mpira halafu leo wakapoteza kabisa muda wao kwenda Uwanja wa Taifa kutizama mechi ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika baina ya Yanga SC ya...
7 Reactions
11 Replies
3K Views
Mfano umepewa vikosi hivyo viwili uchague kimoja kwamba usiporudi na kombe utanyongwa Tunaasume wote wako kwenye form zao kabisa za Hali ya juu, Kwa wakati mmoja
0 Reactions
106 Replies
9K Views
Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo , Abramovic...
4 Reactions
56 Replies
8K Views
Pamoja na kusoma masomo ya Sayansi na Sanaa (Arts) katika maisha ya sekondary lakini nilipenda kweli masomo ya Sanaa kama History na Geography tangu primary mpaka sasa sijawahi kuachwa nyuma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UTEUZI: Waziri wa Habari, amemteua Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Ia Taifa(BMT) pamoja na Wajumbe Sita. Soma
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimefurahishwa sana na kipa kinda kutoka Serengeti boys mwenye umri wa miaka 17 kabwiri akiaminiwa na kocha Lwandamina.Amekuwa akicheza mechi za ligi kuu na hata mechi za Caf. Wachezaji wa under...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Bofya>> All Broadcasts - Sport Streams for each TUMIA CHROME...
3 Reactions
3 Replies
797 Views
Klabu ya Azam ilipoanzishwa nilitegemea kuwa mbadala wa Yanga na Simba hapa nchini. Lakini walipozoa viongozi toka Simba na FAT nikaona hapo hakuna kitu.
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Dogo ameanza kuwa mkatili kama baba yake Keshaanza kutupia hat trick Man u mate yanawatoka Ama kweli damu haipotei
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Majira ya baridi msimu uliopita Chelsea waliwapoteza Ivanovic na Mikel…Walikua ni miongoni mwa wachezaji wakongwe waliobaki ndani ya Chelsea kwa wakati ule..Hiyo haikutosha, kufikia mwishoni mwa...
1 Reactions
3 Replies
792 Views
Habarini wakuu. Wakati kukiwa na shamra shamra za timu toka mikoa mbalimbali kupanda daraja kwenda ligi kuu upande wa kanda ya kaskazini bado hakuna matumaini ya kupata timu ligi kuu. Ni misimu...
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Back
Top Bottom