Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza Ia Michezo Ia Taifa (BMT) ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kati ya kubet (kubashiri matokeo ya michezo) na biko na mzuka. Na je hakuna adhari za kisaikolojia kwa washiriki wa michezo hii
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez amehukumiwa kwenda jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa mara baada ya kugundulika kukwepa...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Wakuu, Siku ya leo imevuja video ya huyu kiungo mdogo machachari ikimuonesha akiwa uchi huku mwanamke aliyekuwepo akimnyonya uume. => Lawyers called in over ‘Dele Alli sex tape’ online footage
1 Reactions
52 Replies
16K Views
David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza. Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Bhule bhule bhakamu gwangu. Nikiwa kama mdau wa michezo, hususan Mpira wa Miguu, ninafurahi sana kuona Kwa siku za usoni, "jinsia" inachukua sana mkondo wake, haswa kwenye mchezo huu wa kabumbu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mashabiki wa soka tujikumbushe kitu kimoja nikiangalia mpira wa bongo hususani hawa mabingwa wa Tanzania bara inafika takribani misimu mitano haijapigiwa penalti langoni mwake. Je ina maana...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nahodha wa Simba, John Bocco, amesema watapambana kufa na kupona kesho Jumatano kuhakikisha wanaifunga Azam wanayokimbizana nayo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Bocco aliyejiunga na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jameni nimeona leo jarida moja online la nchini Spain kwa kifupi linasema Lionel Messi ameshinda CHAMPION CUP 4 ila huyu Gwiji, Maradona hana pia Europa Cup.... Ila Maradona ana WORLD CUP 1...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Bofya link hii kucheki game. Ingia>>> All Broadcasts - Sport Streams for each TUMIA CHROME... Usisahau kujoin kucheki mechi nyingi zaidi kiganjani.. Join>> LIVE MATCHES ONLINE!!
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Top Six PL Teams Final Countdown
0 Reactions
1 Replies
773 Views
AFRIKA imezalisha Wachezaji wengi mahiri ambao wamekuwa na Vipaji maridhawa katika mchezo wa Soka. Kutoka zama za akina Abedi Pele, Kalusha Bwalya hadi zama za akina George Opong Weah, Phil...
7 Reactions
94 Replies
11K Views
Mpira tayari umeanza, tuwe pamoja kwa updates.. Kikosi cha Yanga SC: #VPL Ramadhan Kabwili, Hassan Kessy, Gadiel Michael, Said Juma, Kelvin Yondani, Maka Edward, Raphael Daud, Papy Tshishimbi...
3 Reactions
68 Replies
13K Views
Dakika 5 goli 3 tena mnyukaji anaitwa Watford, heri mngepigwa na Barcelona basi..kwa kweli nimeamini mtoto halali na jeans.
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Wakuu habari tokea Kijana fundi toka Brazil neymar Jr aondoke nou camp kwakweli pengo lake linaonekana licha ya barca kujaribu kuziba kwa kuwanunua dembele na coitinho ambao wanaonekana kushindwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Najiuliza baada ya kato LA kodi ya vat mpunga mwingine umekwenda wapi.Tff ni kichaka cha kupigia ela.vilabu na wachezaji wanavuja jasho na damu wengine wanafaidi kiulaini
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hawa hapa ndo vinara wa kutupia mabao msimu huu mpaka sasa, katika ligi kuu Soka Tanzania bara. Mimi binafsi nimekunwa na watu wawili.. Wa kwanza ni Shiza Ramadhani Kichuya; Huyu jamaa ametoa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mgambo JKT ni timu ya Handeni, Tanga lakini watu wa Handeni hawashirikishwi kwenye timu yao. Kuanzia sasa kwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya ya Handeni hakikisheni kuwa mechi zote za nyumbani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umepewa uwezo kumshauri kocha kikosi cha kuingia fainali 2018 utachagua kipi!.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom