Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mtiririko(trend) wa Simba kwa mechi 5 mfululizo Ndanda 0-2 Simba Simba 4-0 Singida Kagera Sugar 0-2 Simba Simba 4-0 Majimaji Ruvu Shooting 0-Simba 3 Unaweza kuona kutokana na mtiririko huo mechi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo michuano ya Africa inavyozidi kupoteza umaarufu na kukosa msisimko. Je, ni nini kimesababisha hali hii?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Morocco imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN2018) baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa fainali uliopigwa katika dimba la Stade...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Leo ndo siku ya siku na asiye na mwana aeleke jiwe. It’s going down in Minneapolis. Who ya got? Pats or Eagles ?
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Vumbi la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara VPL, kuendelea tena leo ambapo Ruvu Shooting wakiwa wenyeji kwenye uwanja wa Uhuru Dar es salaam, wanawaalika vinara wa ligi hiyo Mnyama, Simba SC. Ruvu...
9 Reactions
148 Replies
17K Views
Ukiyasikia majina ya Timu za Taifa kama mko kundi moja mfano 1. Paraguay 2. Uruguay 3. Brazil 4. Argentina 5. Chile 6. Bolivia Lazima ujiulize mara mbili mbili juu ya kunusurika kwako kwenye...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Yuel kocha machachari wa Inter amesaini mkataba wa miaka mitatu kukiongoza kilabu bingwa nchini Itali-Inter Milan. Atatambulishwa mbele ya vyombo vya habari na mashabiki kesho. Kwa wapenzi wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Timu ya JKT Ruvu ikiongozwa na Kocha Bakari Shime almaarufu Mchawi mweusi leo imerejea kwa kishindo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania ( VPL) baada ya kuichapa kwa bao 5 -0 timu ya Afrikan Lyon. Kwa...
1 Reactions
40 Replies
10K Views
Niko uwanja wa Kambarage Shinyanga naangalia mechi kati ya Stand United na Mtibwa. Kuna tukio limetokea kwenye mechi hii dakika ya 7 labda niliweke hapa wajuzi Wa sheria za mpira mlijadili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unafupofukuziwa nyuma na timu yenye majeruhi wengi ambayo inapata matokeo mazuri mfululizo kwa timu makini kama Azam na Lipuli lazima psycholojia yako itayumba hata kama hutaki iyumbe. Itakulazimu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Patashika ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (VPL), kuanza kutimua vumbi leo kwa viwanja tofauti. Mabingwa watetezi ya Yanga SC kuanza ugenini katika dimba la Samora mkoani...
6 Reactions
130 Replies
21K Views
Kwa msimu wa 10 mfululizo - Mfalme wa soka ulimwenguni Leonel Messi anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee. : 23 ⚽ 2008-2009 34 ⚽ 2009-2010 31 ⚽ 2010-2011 50 ⚽ 2011-2012 46 ⚽ 2012-2013...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuelekea mtanange kati ya yanga na lipuli ,hali ya sintofahamu ilitokea baada ya mashabiki wa yanga wanaojiita makomando au ninja kuingia uwanja wa samora usiku wa manane ili waulinde uwanja...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Huku mashindano ya kandanda ya taifa bingwa barani Afrika yakiendelea kunoga, Samwel Eto'o wa Cameroon amevunja rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi katika historia ya mashindano hayo. Rekodi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
habari nilizozipata mdahuu nikuwa Carlos ALberto Pereira kaachia ngazi kuifunza timu ya taifa la Sauzi Sababu ya kuachia anasema mke wake ni mgonjwa hivyo angependa kuwa nae karibu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Ali Davotuglu amewakabidhi tuzo na medani, wachezaji ambao wamepata mafanikio katika mechi mbalimbali za timu hiyo ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Disemba...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa miaka kadhaa iliyopita, Watanzania wengi wamekuwa wakizungumza kuhusu muelekeo wa vilabu vya soka hapa nchini. Na kwa sasa, mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa vilabu hivyo, limekuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
"AC Milan and FC Barcelona have reached an agreement for the transfer of Ronaldinho. "Tomorrow, the player will be in Milan for the medical, and to sign the contract which will tie him to...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
TIMU ya ngumi ya Tanzania iliyokwenda kushiriki michuano ya ngumi ya Ubingwa wa Afrika, wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroin. Waliokamatwa ni kocha wa timu ya taifa, Nassor Michael...
0 Reactions
40 Replies
10K Views
Huu ni mfano wa ubabaishaji katika mpira wa Bongo! Simaba wanatarajia kucheza na Enyimba huko Aba keshokutwa katika mechi ya klabu bingwa barani Afrika. Kuna taarifa kwamba wachezaji wawili...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom