Kwa mujibu wa BBC sport news Man city ndiyo team ambayo kwa sasa inacheza soka bora zaidi katika ligi zote bora nne dunia, yaan spain,German,Italy na England yenyewe. wameangalia namna team...
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapo, mechi kati ya Tanzania Prisons na Mbao FC iliyoahirishwa jana na kupangwa kucheza leo saa 8:00 asubuhi imesongezwa mbele hadi saa 10:00 jioni...
Kama kawaida; kwenye mbio za kilimarathon; wakenya huwa wanazota tuzo zote katika kategories za mbio. Mwaka jana tu ndo mtanzania mmoja alitutoa kimasomaso kwa kushinda kategori ya Mita 21 kwa...
Wana jamvi naomba ushauri mtt wangu ana kipaji cha mpira anatumia mguu wa kushoto hata waalimu wa shule anayosoma amenieleza kuhusu kipaji hicho sasa naomba ushauri nikuzeje kipaji chake na diet...
Wapenzi wa soka, huyu Mousa Dembele wa Spurs kawakosea nini? Mbona hapewi sifa zake anazostahili, jamaa anajua sana mpira ila cha kushangaza wanaosifiwa ni akina Pogba kila siku.
Dembele huwa...
Kwa miaka 15 iliyopita katika ligi yetu ya VPL nadiriki kusema mpaka sasa sijaona beki wa kati wa kariba ya Victor Costa Nampoka "Nyumba".
Victor Costa alibarikiwa kila kitu ambacho beki wa...
Wakuu wana JF..
Ni rahisi zaidi kwa mwanaharakati Mange Kimambi kuwa Mbunge wa viti maalumu pale Msoga kuliko Profesa Makoti mzee Hasanali Mawenge kuingia Top Four Msimu Huu! #wengerout
WAANDAAJI wa muda mrefu wa shindano la Miss Tanzania Kampuni ya Lino Agency chini ya Mkurugenzi wake Hashim Lundenga wametangaza kuachia ngazi kwa kutojihusisha tena na shughuli hizo za urembo...
Patashika ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (VPL,) kuendelea leo katika uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam, ambapo vinara wa ligi hiyo Simba SC kuwakaribisha Chama la Wana, Stand United...
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongezeni sana Uongozi mzima wa SIBUKA Media Company kuanzia kwa Mkurugenzi na Mmiliki wake Dr. George Nangale ( Mbunge Mstaafu wa Afrika ya Mashariki ) na Mkewe Madam...
Wakuu..
Hata kama mpira una Matokeo matatu yaani: Kushinda, kudroo na vilevile kufungwa; Lakin kwa walichokifanya Stand Taifa jana ni Hatari kwa Afya zetu WanaSimba katika Mbio za Ubingwa!
Stand...
NYOTA wa Paris Saint-Germain, Neymar amewasili mjini Belo Horizonte akiwa na mama yake, Nadine Goncalves Da Silva and na Daktari wa timu ya taifa ya Brazil, Rodrigo Lasmar jana tayari kwa upasuaji...
“ MO amekuwa na tabia ya kutokuja mazoezini akiwa na sababu nyingi kila mara jambo ambalo linaathiri kiwango chake na hivyo sitaweza kumtumia. Simba sio timu ya sikukuu ambayo unaamua leo uje...
Timu ya Serie A ya AC MILAN imemtimua kocha wake Vicenzo Montella na kumpa kazi hiyo Mchezaji wake wa zamani , Mcheza rafu Genaro Gattuso.
Hebu pata picha jinsi AC MILAN itakavyocheza .
Ni...
Kuna Watu wanasema Bwana Manuel Neuer Ndio Golikipa Bora Duniani.Sikatai,Lakini hiyo ni kwa Miaka iliyopita Lakini kwa sasa Hiyo Heshima anayo David
Sema Tu kinachomwangusha ni Man u kutofanya...
Habari,
Ujumbe huu utachukua dakika chache kusoma
Nina YouTube Channel kinachoitwa "DIRECT BONGO TV"
Ninataka kusambaza filamu za Kiswahili duniani kote!
Kwa msaada wako!
Ningependa mjiunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.