wakuu kwa wale mliopata fursa ya kushuhudia mechi ya jana kati ya yanga na kagera mtakuwa mlishuhudia magoli aliyokosa atupele green,..sasa mi nauliza hyu mchezaji ni position gani anacheza...
Mpira unadunda unaweza kudundia popote kuelekea kokote. Simba mwaka huu iko vizuri kila idara na kuwaaminisha wanachama na mashabiki wao kuwa safari hii ni zamu yao kiasi kwamba hakuna tena...
Imekuwa Kasumba kwa makocha wa taifa stars kuchagua wachezaji wa timu ya Taifa kwa mazoea, hali hii inapunguza uzalendo wa kushabikia timu yetu ya taifa. Kila siku wadau wanajitokeza kuwapa...
Habari wadau,
Natabiri kuwa huu ni msimu mwingine tena kuendelea kuona rekodi zikivunjwa na kuwekwa na Real Madrid pamoja na Christiano Ronaldo.
Madrid wameweka rekodi ya kutetea kombe la...
Wakuu, naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya mabadiliko ndani ya Yanga yani kutoka ktk mfumo tegemezi kwenda ktk mfumo wa hisa.
Ni muda mrefu hakuna hata ukulele kuhusu haya mabadiliko tangu...
Kufuatia mvua kubwa na umeme kukatika uwanja wa Taifa wakati wa mechi kati ya Simba ya Tanzania na Al Misry kutoka Misri mechi ilisimama kwa muda lakini wakati huo huo baadhi ya mashabiki...
Tottenham's Victor Wanyama scores their first goal against Liverpool.
Tottenham Hotspur midfielder Victor Wanyama has been awarded the Premier League goal of the month trophy for his stunning...
By Dick Dauda - March 8, 2018.
Baada ya Simba SC kutoka sare ya kufungana ya bao 2 kwa 2 dhidi ya Al Masry ya Misri, Tajiri wa klabu hiyo
amefanya kikao cha siri na wachezaji wa Simba SC.
Kikao...
Ameanza kuizoea soka , kaishangilia Simba. Je wewe tafakari chukua hatua.
Tafadhali hatununui shabiki, Poleni vyura wazee, na ile mvua sijui pakoje hapo KATI maeneo ya Jangwani.Maana pale taifa...
Hakika kama TFF haitabadili Mtindo Wa Ligi Yetu basi tusitarajie wawakilishi wetu kwenye michezo ya kimataifa watafika Mbali.Ligi Yetu ni dhaifu sana Kwa mfano Timu zinazishiriki kombe la FA...
Imekuwa Kasumba kwa makocha wa taifa stars kuchagua wachezaji wa timu ya Taifa kwa mazoea, hali hii inapunguza uzalendo wa kushabikia timu yetu ya taifa. Kila siku wadau wanajitokeza kuwapa...
Yassss!! Awesome work Juventus!
Spurs are out! Hahaha yayyy! Don't mess with the Italian champs!
Waiting for Barca to knock Chelsea out. And then Man utd,City and Liverpool,hope they all get...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.