Arsene Wenger: Arsenal meneja ataondoka klabuni baada ya miaka 22 kama meneja. Amewashukuru wapenzi wa soka wa klabu hiyo kwa kumpa heshima na ushirikiano miaka hiyo yote. Wenger, 68, kashinda...
Wakuu! Mwenye kujuwa atuambie ni nini kimetokea baina yao? Fundi kama huyu utamuachaje kwenda urussi!!! badala yake anamchukua Higuain....Ndio maana timu inakuwa dependant on single man...
Zikiwa zimesalia siku tisa kuelekea mchezo wa watani wa jadi, wachezaji tegemeo wa kikosi cha kwanza cha Simba mshambuliaji, Emmanuel Okwi na kipa, Aishi Manula, wanahatihati ya kucheza mechi ya...
Dalili za mvua ni mawingu. Picha inaeleza kila kitu.
Kwa mara ya kwanza Timu kutoka Afrika kufika fainali kombe la dunia mwaka huu 2018.
Usikose fainali za mwaka huu 2018.
But First, Let Me...
Manchester United generated the most revenue of any football club in the world last season, according to a report published by Deloitte.
United dethrone Real Madrid - who held top spot for 11...
Wadau wa Dstv, kuna makala tamu sana za kombe la Dunia kwanzia miaka ya nyuma ambazo zimeanza jana, mechi za kuvutia na za aina yake zilizowahi kupigwa katika kombe la dunia. Kupitia Chaneli...
Haya magari yanayopaki ndani ya viwanja vya mpira vp kama siku yakatumiwa na wahalifu kushambulia wachezaji??
Maana yanakua mita chache toka kwenye kiwanja..pia haipendezi kabisa hata kwenye...
Unapoangalia mpira kuna matukio mengi yanatokea ila nadhan tukio linalosisimua zaid ni goli linapoingia, kuna magoli yanafungwa kimaajabu au kiustadi mkubwa hadi yanakuachia kumbukumbu...
Baada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale? Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga...
Leo kuanzia mida ya saa nane Mchana ndo zitafanyika draw za champions league na Europer league. Draw hii itafanyika pale Zürich nchini uswisi.
Katika UEFA Champions League
Timu zinazosubiri...
Sijawahi kuona timu zenye roho mbaya kama Singida United na Mbao FC kwa Yanga.
Hakuna kocha wa timu hizi mbili kuja kuifundisha Yanga hata kama Yanga ikose hata kocha msaidizi. Nyambafu.
Golipa wa Realmadrid, keylor Navas amekua sehemu ya kulaumiwa kwa mashabiki wa Realmadrid na wachambuzi wa soka duniani.
Binafsi ni moja kati ya makipa wanaostahili kucheza Realmadrid despite...
Wakuu habari zenu?
Msimu wa wa 2017/2018 umekuwa msimu mzuri kwa mo salah tofauti na watu walivyodhani.
Ronaldo na Messi Sasa wamepata mpizani wa kweli kwenye tuzo za ballon d’or msimu huu na...
Kutana na Daktari Mtarajiwa Anayekipiga Coastal Union
Si aghalabu sana kukuta wanasoka wa Tanzania wenye taaluma zao lakini pia wapo wanaosema mshika mbili, moja humponyoka, lakini mbele ya...
KUFUZU KWA YANGA KUTUMIKE KIBIASHARA
Ndani ya miaka mitatu Yanga imefanikiwa kuingia katika hatua ya
makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika mara mbili.
Miaka hii mitatu ilikuwa na majira...
DRAW YA CAF CONFEDERATION CUP
-Draw ya makundi ya Caf Confederation Cup kufanyika Jumamosi ya April 21 saa8:00 mchana makao makuu ya CAF Cairo Misri
-Timu 16 zilizofuzu ni,
1-USM...
Huyu jamaa nimekuja kugundua ni mtu flani wa husda sana,ana chuki na wivu flan hiv wa chini chini anao uficha kwa mgongo wa utani wa utani wa jasi but kiuhalisia hamaanishi hivyo...kwa mfano...
Msemaji wa timu ya soka ya Simba Haji S. Manara, amesema kwamba anaamini kuwa siku moja ndoto yake ya kuwa Rais wa Tanzania itakuja timia, kwani ndio tamanio lake la siku nyingi.
Akizungumza...
Mabingwa mara 27 Tz na mabingwa mara 3 mfulilizo,Yanga leo imeweza kufuzu katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho,japokuwa tumefungwa 1-0, lakini ushindi wa nyumba wa goli 2-0 umekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.