Wakuu mnaikumbuka Cameroon hii ya 2000 fainali dhidi ya nigeria .
Duh mda unaenda Sana Eto'o alikuwa na miaka 18 Tu
Regobert song 23 duh sasa hivi Mzee
Maisha haya
GK Alioum Boukar (aged 28)...
Za wikendi wadau,
Yanii Lukaku anamzidi Salah kwa mshahara no way. Haiwezekani Salah alipwe Pauni elfu 90 kwa wiki hii haingii akilini kabisa. Eti Pogba naye anamzidi Salah kwa mshahara. Eti de...
Zimebaki siku chache kuanza kombe la dunia 2018,
startimes, dstv na econet wameshaanza matangazo ya kurusha mechi zote world cup 2018.
Je azamtv watarusha au tujiandae kwenda bar?
Klabu ya soka ya Real Madrid imefuzu kucheza fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare ya goli 2-2 na klabu ya Bayern Munchen
Kwa matokeo haya pamoja na matokeo ya mchezo...
Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji wa dharula katika ubongo wake ili kuondoa damu iliyovuja
> Kwa mujibu wa jopo la Madaktari wamesema upasuaji huo...
Hakuna mwanamichezo Tanzania asiyejua maisha magumu yanga inayopitia, siyo kwa wachezaji mpaka viongozi wa timu.
m
wambusi ni kocha mzuri mwenye uzoefu na timu ya yanga...katika kipindi chake timu...
Mwanahabari: mnapojiandaa kwa ajili ya elclassico huu msimu ligi ya nyumbani imekuwa na changamoto kuliko uefa hili unalizungumziaje wewe kama coach na mchezaji
Zidane: ni rahisi sana kubeba UCL...
Kusuasua kwa timu ya Yanga katika ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017/2018 inasadikiwa kutokana na kutokuwepo kwa timu zinazofundishwa na makocha hawa katika ligi kuu
1. Charles Mkwasa
2. Fred...
Baada ya mechi ya Jana kupoteza dhidi ya Brighton Mo akawachana wachezaji wake live,alisema baadhi ya wachezaji hawaumii na matokeo kama yale pia aliwaambia waandishi kuwa kwa sasa watakuwa...
NA SALEH ALLY
MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga hakika wanatia huruma hasa kutokana na hali yao ya kimaisha kwa maana ya kifedha.
Yanga wameondoka nchini jana kwenda Algeria kuivaa USM Alger katika...
Taifa Stars
Hapa Rais Jafar el Niameiri wa Sudan akisalimiana na Omar
Zimbwe huku Mohamed Chuma (kushoto) na nahodha
Abdulrahmani wakishuhudia. Nyuma yao ni Kitwana Manara 'popat'
na...
Kufuatia kitendo cha mchezaji wa Yanga Kelvin Yondani kutemea mate Asante Kwasi wa Simba SC, Aprili 29 katika mechi namba 178 kwenye patashika ya mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL), mchezo...
Timu kubwa zinapocheza na ndogo za madaraja ya chini ziwe makini sana kulinda wachezaji wao wasiumie mchezoni na kusababisha majeruhi wengi clabuni.
Upatikanaji na uthibiti wa bangi kwa...
Wakuu tuwekeni utabiri hapa kuhusu kocha atakaefuatia baada ya mzee wenger kuondoka mwishoni mwa msimu huu
Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.