Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Gazeti la Cadena SER kutoka nchini Hispania, limeripoti kwamba taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Real Madrid ni kwamba Kocha Zinedine Zidane 'Zizzou' (45), amejiuzulu nafasi ya...
3 Reactions
125 Replies
20K Views
Mchezaji wa nafasi ya kiungo, ambaye pia alikuwa nahodha wa Azam FC Himid Mao Mkami (Ninja), amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Klabu ya Petrojet inayoshiriki ligi kuu nchini Misri.
7 Reactions
34 Replies
5K Views
  • Poll Poll
JF tuchague nasie kwetu. Tupia kura yako hapa.
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Sitaki akili yangu wala ya msomaji yeyote itilie manani juu ya uwezo wako kichwani, elimu yako, makuzi yako wala jamii yako. Itoshe tu kusema staha ni jambo muhimu sana kwa binaadamu yeyote yule...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
ARGENTINA Boca Juniors River Plate Newell's Oldboys Argentinos Juniors Chacarita Juniors Godoy Cruz Rosario Central San Lorenzo Atletico Tucuman Banfield Lanus Arsenal de sarandi. Estudiantes...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi. Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha...
9 Reactions
91 Replies
7K Views
Mi wangu ni hawa. 1.Messi 2.Ronaldo 3.Marcelo 4.Neymar Jr 5.De gea 6.Dyabala 7.Lewandosky 8.Salah 9.Hazard 10.Mbappe
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba maoni yangu yaheshimiwe kama ambavyo nami pia nitayaheshimu yenu ambayo mtayatoa katika Kuchangia hili ambalo naenda kuligusia hapa kwani naona kuna ' Wapuuzi ' fulani ndani ya Simba SC...
13 Reactions
39 Replies
10K Views
Sijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
AFRICA ILIPOISHANGAZA DUNIA Sasa ni zamu ya kushabikia teams zetu za Africa maana tulifanikiwa katika miaka kudhaa nyuma na kuishangaza dunia. Ikumbukwe kombe la dunia la mwaka 1998 liliisha kwa...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Kikosi kamili cha Yanga Sports Club kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup . Vikosi cha Yanga ,Simba, JKU cha Zanzibar vimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wito wangu kwa uongozi wa Yanga ni mmoja tu. wawe waadilifu na kuhakikisha Yanga inarejea kwenye hali yake ya kawaida. Uhujumu dhidi ya timu hauwezi kubadilisha msimamo wa Serikali dhidi ya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Klabu ya soka ya Singida United imetangaza kuwasajili wachezaji wapya watatu, akiwemo mshambuliaji kutoka Ivory Coast na mwingine kutoka Brazil Mkurugenzi Singida United, Festo Sanga amewataja...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kabla ya kutaka kubet, nimejaribu huu mchezo wa p12 ili nione nafasi (chances) za mimi kushinda mechi zote. ufafanuzi ni kama ifuatavyo kila mechi ina matokeo matatu. kwahiyo uwezekano...
2 Reactions
10 Replies
18K Views
  • Closed
Leo timu ya Yanga imethibitisha kumsajili tena Mrisho Ngassa akitokea Ndanda Fc. Yanga kwenye hili wamechemka kwani muda umeshamtupa mkono 'Anko Ngassa' "Mtoto yatima hadeki" UPDATES: Uongozi...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Kiungo wa zamani klabu ya Chelsea, Frank Lampard(39) amethibitishwa leo Mei 31, 2018 kuwa Kocha wa timu ya Derby County akichukua nafasi ya Gary Rowett aliyeenda kufundisha timu ya Stoke City...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Msambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku awaponda raia wa nchi hiyo kwa kutompatia heshima anayostahili pamoja na kumuunga mkono ipasavyo Malalamiko haya ya Lukaku yanahofiwa kuwa yanaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri na Klabu ya Liverpool ya Uingereza, Mohammed Salah anatarajiwa kupona majeraha yake na kushiriki Kombe la Dunia linaloanza Mwezi ujao nchini Urusi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa naombeni msaada!mi najua,kushinda tatu mzuka mpaka namba tatu zifanane ndo unapata milion,je ukikosa namba moja kuna kupata chochote?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia, FIFA limemuondoa Refa Fahad Al-Mirdasi na timu nzima ya Marefa kutoka nchini ya Saudi Arabian katika orodha ya Marefa watakaochezesha mechi za Kombe la Dunia...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom