Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ikumbukwe kuwa alipelekwa Singida United na Simba SC kwa mkopo ili akakuze Kiwango chake na kama kikiwa juu kama huko nyuma basi Uongozi utamrudisha Kikosini. Nimetoka kuwasiliana na Mchezaji...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
wewe Giroud ni striker, wajibu wako ni kufunga, sasa hii imekaaje mze baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Takriban maafisa 100 wa kandanda katika eneo la Afrika Magharibi na Kenya walipatikana katika kamera wakipokea fedha katika operesheni kali. Ni miongoni mwa upelelezi wa miaka miwili uliofanywa...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Floyd Mayweather tops Forbes' list as highest-paid athlete Boxer Floyd Mayweather is the richest athlete in the world — again. That’s according to Forbes magazine, which estimated the...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Hii ndio tuzo atakayopewa Kinara wa ufungaji mabao katika michuano ijayo ya Kombe la Dunia. Je ni Messi, Ronaldo, Muller, Kane au Lewandowsky? Kwa uzoefu wangu naona tuzo hii ikienda kwa Radamel...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Tukumbushane wanasoka mahiri ambao ni ni wenyeji wa moa wa Morogoro. Mimi naanza na Method Mogella Fundi. Tafadhali endelea
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Zinedine Zidane amepata contract ya kuifundisha timu ya taifa ya Qatar kwa miaka minne kwa Pauni milioni 50 ambazo ni sawa na bilioni 152 na milioni 22 za kitanzania kwa mwaka, ambazo atakua...
10 Reactions
108 Replies
15K Views
Kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga Shedrack Nsajigwa ametangaza kung'atuka rasmi ndani ya Klabu ya Yanga.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo ndio leo miamba ya soka nchini, Simba SC na Yanga SC wanakutana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar Tambo zimetawala kutoka kwa mashabiki wa kila...
4 Reactions
644 Replies
45K Views
Timu ya mpira Wa Miguu ya Singida United inayoshiriki Michuano ya Kombe la SportPesa huko nchini Kenya imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa FC Leopard ya Kenya kwa mikwaju ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Huu ugomvi wa Yanga na Kagame ulianza mwaka 2012 Mara baada ya Yanga kwa nguvu kubwa kushinda Kagame Cup ili Yanga ipate nafasi ya kwenda kuonana na Kagame... toka mwaka huo baada ya kutoelewana...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wakuu, salaam! Mimi ni layman kwenye masuala ya kanun za kabumbu. Hivi, inakuwaje kipindi hiki baada ya kumalizika kwa msim wa ligi kuu vpl 2017/2018 dirisha kuu la usajili bado halijafunguliwa...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wadau, Kuna mwenye taarifa yeyote kuhusu Azam TV kuonyesha kombe la dunia? Au ndio itabidi kujisogeza kwa jirani?
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Huu mwili si kama kifaru cha jeshi maana mwanzoni nilihisi labda jamaa anakunywa petrol that's why ana tank kama hili. Afu inaaproach 40 ila mwili kama iko late 20.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CECAFA wanataka kuondoa uwezekano Wa Simba na Yanga kutokutana kwenye mashindano haya. Mechi ya Simba na Yanga ndio mtaji Wa mashindano, hivyo wanahofia Yanga dhaifu kuondolewa mapema kama...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa hali inavyoendelea hapo klabuni kwetu naona kuanzia wachezaji, benchi la ufundi mpaka viongozi hakuna anayejali wala kujivunia Yanga. Sasa tunafungwa hovyo hovyo na timu za kawaida kabisa tena...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Watani wa jadi nchini wanatarajia kukutana kwenye michuano ya Kagame yanayotarajiwa kufanyika nchini kuanzia tarehe 30 juni mwaka huu Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga utafanyika julai 5 saa 10 jioni...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
The game of soccer has been blessed with some phenomenal talents and it does many scant justice when it comes to choosing the 10 greatest soccer players of all time. But, for what it is worth...
1 Reactions
124 Replies
9K Views
Hemed Morocco ni kocha mzuri kuliko Hans Van Pluijm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom