Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

ENGLAND: Aliyekuwa Mwalimu wa Timu ya Vijana ya Klabu ya Newcastle United, George Ormond ahukumiwa miaka 20 jela > Ormond amekutwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono Watoto wa kiume katika kipindi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya Ulinzi inayojulikana kwa jina la 'Kiwango Security' imewaondoa wafanyakazi wake wote katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa madai ya kuwa haijalipwa fedha zake Kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi naomba kuuliza kwenu waungwana, nyie mnaonaje hiki kipindi cha kila siku saa 3-4 usiku kupitia clouds fm, kiendelee kuitwa Sports Xtra au kibadilishwe jina na kiitwe Soccer Xtra? Najaribu...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Ni kati ya mchezo wa karata niliokuwa nauhitaji sana kwenye Device yangu. Kwa wapenzi wa karata na wanaojua Pakua huu mchezo , kuna mda pia wa tournament ambapo mshindi huondoka hadi na $ 100. Ni...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Malipo ya Mnafiki huwa ni hapa hapa duniani. Yule yule ambaye amekuwa akimpiga Majungu Kocha Pierre Lechantre afukuzwe kisha Timu apewe Yeye Masoud Djuma Irambona sasa ' laana ' ya Mzungu inaanza...
10 Reactions
105 Replies
11K Views
Pelé consistently deceives the footballing community with half-truths regarding his achievements. This is the same guy that said Nicky Butt was the 2002 FIFA World Cup's best player. So do not...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ni special thread kwa wadau wa mpira wa kiingereza hasa timu ya taifa ya Uingereza maarufu kama Three Lions. Wajukuu wa Malkia tunakutana hapa, huu ndio uzi wetu kwaajili ya kujadili timu...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Ni katika hali ya kawaida sana. Naangalia mechi ya Denmark na Armenia muda huu. Nikavutiwa na mchezaji mmoja wa ushambuliaji wa Denmark. Maajabu naona baba ni Mtanzania na mama ni Mdanishi...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Glenn cunnigham alipokuwa mwanafunzi , aliteuliwa kuwa mtu ambaye atakuwa anawasha moto katika kipindi cha baridi ili watoto wenzake waweze kupata joto. Siku moja katika harakati zake za kuwasha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa Niende moja kwa moja kwny uzi Katika mda huu ambao macho na masikio ya wapenzi wa soka yameelekea pale RUSSIA hebu turudi kidogo kwny ligi zetu pendwa za soka hasa ligi kuu ya...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Goalkeeper Essam El-Hadary miaka 45 wa Misri aka Pharaohs ndiyo mchezaji mwenye umri mkubwa kuliko wachezaji wote watakao cheza michezo mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la Dunia mwaka huu wa...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Mimi sio mshabiki wa simba ila naona mechi ya simba na everton itakuwa nzuri sana. Sioni kama gor mahia anaweza kuwafunga hawa machampioni wa TZ. napendekeza kikosi hiki dhidi ya everton. Kama una...
2 Reactions
63 Replies
12K Views
Mods naomba msiunganishe hii thread na nyingine plz. Nikiwa kama shabiki wa Simba nimesikitishwa na matokeo ya fainali ya kufungwa na Gor Mahia goli 2-0. Hii michuano licha ya bingwa kupata...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Tuko hapa tunasubiri taarifa wakuu, kama ni mchango tupo tayari. YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameutaka uongozi wa Klabu ya Yanga kutengua maamuzi ya kujitoa kushiriki kombe la Kagame Cup. Karia amesema sababu ambazo Klabu...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Mimi naanza na Bakari Malima. Endelea...
3 Reactions
86 Replies
12K Views
Klabu ya Singida United kutoka Tanzania imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu katika Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega HomeBoys kwa penati Singida imeishinda Kakamega kwa...
1 Reactions
287 Replies
23K Views
Je ina maana kimpira Kenya wametuzidi? Ikiwa wametuzidi kimpira wa miguu sisi tunawashinda jambo gan Wakenya? Team za Kenya zimeonesha kujawa na ushindani na kuwa na nia hasa ya Ushindi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
TeamKiba kukubali Kichapo cha 4-2 dhidi ya Teamsamatta Kikosi cha TeamKiba kimekubali kichapo cha mabao 4-2 dhidi ya TeamSamatta katika mchezo maalum wa kuchangia fedha kwa ajili ya vifaa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom