Ni mchuano wa kufuzu kwenye fainali za AFCON za mwaka 1980 ambapo Taifa Stars ilikua inacheza mchezo wa marudiano na Zambia mjini Lusaka. Stars walihitaji goli moja tu waeze kufuzu
Peter Tino...
Ukata katika Uendeshaji wa timu muusikie hivyo hivyo!! Yamewakuta waendeshaji wa timu ya soka ya Gulspor, klabu kongwe nchini Uturuki, iliyoanzishwa mwaka 1954. Yaani yamewafika shingoni kiasi...
King Messi has now won 33 trophies for FC Barcelona. The most successful footballer in Barca history.
9 🏆 La Liga
6 🏆 Copa del Rey
8 🏆 Spanish Super Cup
4 🏆 UEFA Champions League
3 🏆 European...
Wakati bado tunasherehekea ubingwa wa waliopigania dada zetu nadhani inabidi tuwekane sawa. Ni ukweli usiofichika kuwa TFF na wadau wa michezo kwa ujumla wanawekeza fedha, mawazo, na akili zao...
Video hii ime trend sana katika mtandao wa instagram Duniani kote Mchezaji wa Man U Antonio Valencia nae amepost kwenye account yake ya Instagram.
Mpaka sasa inaweza ikawa imetazamwa na watu zaidi...
Habari za mchana wana JF leo usiku kuna fainali ya kukata na shoka kati ya mabingwa wawili mmoja wa Europa league yaani Atletico madrid ya Hispania na mwingine champions league Real Madrid wa...
Kuna uzi humu unaoelezea kabila furani toka kaskazini ya Tanzania. Mtoa uzi alitaka kujua ushiriki wa watu wa kabila hilo kuhusu mchezo soka. Hilo limenikumbusha mkoa wa Morogoro na mchango wake...
Rais wa TFF Wallace Karia muda huu amemtangaza mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) Emmanuel Amunike kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa mkataba...
Nimemsikiliza mchambuz wa michezo shapii kwenye kipindi cha clouds amenikwaza hadi nimejiuliza hivi huyu ni mchambuzi au ni mtu anapiga porojo ili mradi kipindi kipite?
Ameulizwa kuwa mtibwa...
Kwa taarifa tu simba ndani ya wiki hii imeingiza zaidi ya million 550,000,000/=
mchanganuo mo Energy million 250,000,000/=,
sport pesa million 50,000,000/=
Na pesa za kiingilio takribani...
Kwa mpira huu tulioupiga Chelsea leo hakika tupo vizuri nimeona jinsi
Jorginho alivyo tulia katika dimba lake akishirikiana vyema na Ngolo Kante pamoja na Rose Barkley akika naamini Nyumbu...
Footage apparently showing Liverpool footballer Mo Salah using his mobile phone while driving has been referred to police by his club. A video posted online appeared to show the player sitting in...
Hii haijakaa sawa,haiwezekani uandae vijana kuwatayarisha kuingia kwenye michezo ya wakubwa miaka ijayo,wakati huohuo hamtaki kuwaandaa referees ambao ni U-17.Mtazamo wangu,mechi zote za U-17...
Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea
hii imeonekana kuwa mashindano magumu zaidi kuwahi kutokea duniani,na wataalamu Wanasema kwamba ya weza kuwa magumu kushinda ligi kuu hispania,uingeleza,Italia,marekani,uholanzi na ufaransa,je...
BAADA ya kurejea tena katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Coastal Union ya jijini Tanga imejipanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa ligi hiyo ambayo inatarajiwa kuanzia Agosti 22, mwaka huu, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.