Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

" Form 4 kesho wanaanza mitihani ya kumaliza shule, lakini tangu waanze shule Form 1 hawajaioa Simba ikiwa bingwa"
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Simba ni timu yenye wachezaji wakubwa na wazoefu wa ligi lakin wengi wao ni kama sijui hawana morali, utaona wanavyoenda kukaba ni kama tayari wana goli 5, hakuna ule uharaka katika kutengeneza...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Msimu uliopita, simba ilimwacha bingwa wa sasa yanga kwa alana 5,wakazipunguza hadi kubaki 2 kisha wakaongeza hadi kufikia alana 7 kama sijakosea. Bahati mbaya nyingine zilipunguzwa hadi kufikia 1...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Wadau kuna ubishani kitaa kati ya hizi game mbili FIFA MOBILE na DREAM LEAGUE kwa upande wako ipi ni game nzuri zaid
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpaka Kipenga cha Mwisho Yanga 1 Simba 1. Nimefuatilia mpira kwa ukaribu Yanga wamejenga mashambulizi ya hatari sana kuliko Simba na wamepiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Simba wakiwa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu naomba mnifahamishe lile pambano la ndondi la uzito wa juu baina ya joshua ni lini? Kwa anaweza kujua ratiba ya pambano hilo, tarehe pamoja na muda kwa hapa bongo tafadhali atuweke hapa. Na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilisema tena hadi nikatamba kabisa kwamba katika mahala ambapo nikitaka kupata taarifa zake hata kama zikiwa na ugumu gani kupatikana basi ni ndani ya Klabu ya Yanga SC na tayari hivi ninavyo...
11 Reactions
47 Replies
7K Views
Asamoah Gyan amepewa leseni na serikali ya Ghana kuanzisha shirika la ndege ambalo litatumia jina lake la utani la Baby Jet Airlines. ======= Black Stars Captain, Asamoah Gyan has been given a...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wapenda soka kesho tutakua vibanda umiza tukiwaangalia mafundi wa mpira Ajibu,Niyonzima,Kabamba,Kotei kwenye mtanange wa kukata na Shoka baina ya Yanga na Simba pale Uhuru...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Ushindi wowote katika soka hutegemea maandalizi bora na makini , mara zote ni lazima timu ifanyie kazi mapungufu yake , sitatoa siri ya mapungufu ya simba yaliyorekebishwa na Tactician hatari...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani Tusaidiane Kubashiri Game za Premier Legue na zingine za leo kwa ujumla. kwa Mtazamo wangu nianze kabisa kwamba. Man Utd - Tottenham (Draw) nakaribisha wanasport wenzangu kwa game...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Ni katika pambano la Simba na Yanga ambapo wanasiasa na viongozi wengi wa kisiasa wanatarajiwa kuhudhuria. Msemaji wa TFF amesema kutakuwa na askari wenye sare 400, askari kanzu 150, vikosi vya...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
1.MANULA 2.NYONI 3.ZIMBWE 4.MURSHID 5.MWANJALE 6.MKUDE 7.KICHUYA 8.MUZAMIRI 9.MAVUGO.10. NIYONZIMA 11.OKWI
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Hata hivyo, Simba ambayo imeweka kambi Zanzibar kujiandaa na mchezo huo, itawasili Dar es Salaam Jumamosi saa 2:00 asubuhi na kuelekea moja kwa moja Hoteli ya Golden Tulip kupumzika kabla ya...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nilikuwa namuangalia Cristiano Ronaldo katika mechi ya kufuzu Russia2018 kati ya Ureno na Uswiswi na ukweli ni kuwa anaelekea katika kumalizia maisha yake ya soka,huyu wa leo sio yule niliemzoea...
19 Reactions
35 Replies
12K Views
naombeni kuuliza huo mpira umetoka nje au upo ndani???nimeamua kuuliza mana imetoka assist ambayo imesababisha goli ambalo limenitoa kwenye UEFA champions. Sasa nataka. Kukata rufaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani kutokana na historia kuwa muhimu maishani kumbe simba wazee wa fifa fc walishaweka mpira kwapani kama mara tatu nne hivi tangu kuanzishwa mara wanapocheza na Yanga mabingwa mara nyingi na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wengi mnadhani kuwa kutokana na kuwapo kwenye form ya ajabu ambayo hajawahi kuonyesha, mnadhani kuwa ana uwezekano mkubwa wa kuingia kambani zaidi ya mara moja. La hasha sivyo! Atatumika tu kama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna mahali wameandika kuwa magoli ya huyo jamaa aitwae Ajib waweza kuyakopea mkopo kabisa popote .maana yake we wambie nimebet na nitashinda kwa goli la mguu wa dhahabu. Kesho sio mbali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom