Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naona Messi kamkalisha Neymar hapa
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Deleted By Author!
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Leo tarehe 21-10-2017 kutakuwa na mechi (boxer) halima ambaye atapigana na mwanne usiku wa leo Maeneo Msasani jijini Dar es Salaam Kwa wale wapenzi wa ngumi za ulingoni mnakaribiahwa
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Goli la Kichuya lililotungiwa wimbo Simba 1- Yanga 1, Octoba 2016 VPL Simba 4- Yanga 2, Januari 2017 Mapinduzi Cup Simba 2-Yanga 1, Februari 2017 VPL Simba 5- Yanga 4, Agost 2017,Ngao ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pedro Martinez Losa amejiuzulu wadhfa wake wa klabu ya Arsenal upande wa wanawake baada ya miaka mitatu katika uongozi wa soka ya ligi ya wanawake. Losa ambaye nia raia wa Uhispania, aliyewasili...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Baada ya kutolewa tuzo ya mchezaji bora duniani Leo nikiwa naperuzi document yenye matokeo ya kura zilizopigwa na macaptain wa timu za taifa kuna baadhi ya ma captain walinishangaza ipo hivi Hugo...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar Kikosi cha Simba kimeondoka Visiwani Zanzibar leo asubuhi kwa ndege kurejea jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mwisho ya mechi yao ya kesho ligi kuu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Watalam wa uloz kutoka asha fc usiku wa leo wamehaha kufukia kichwa cha mbuz bila mafanikio Walinz wanaolinda uwanaja wa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Siku simba waliponipa elimu hii Bahati nzuri huyu jamaa ambaye ni mwandishi wa habari za michezo ni mwanachama hai wa simba ,binafsi sikuwahi kufahamu kuwa ni mdau wa simba kwani hata mashabiki...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Jumamosi Man Utd anacheza na Spurs pale Old Trafford, lakini mpaka sasa sijasikia kuwa Man Utd au Spurs wameenda kuweka kambi kujiandaa na mechi hii. Wachezaji wanakutana kawaida mazoezini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rashid Mahadhi amefariki dunia ikiwa ni muda mfupi baada ya timu yake ya Abajalo kupoteza mechi dhidi ya Changanyikeni Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa Tandika jijini Dar es Salaam na...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa TFF, Michael Wambura anatuhumiwa kufaudu USD 45,0000, zilizotolewa kwa TFF (FAT) ya wakati ule na Marehemu Enock Maganga ili kunisaidia FAT katika maandalizi ya Challenge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naliwakilisha Taifa kwenye shindano la kuizunguka dunia kwaajili ya kujifunza mambo yakimaendeleo na mazingira. mshindi kutoka bara la Africa ataungana na wenzie kwa miezi 5 kuizunguka dunia. nipo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
NDALA SC Kwa taarifa za uhakika nilizozipata toka Mkoani Morogoro [ambazo hazina chembe chembe za mashaka], ambapo “ndugu zetu” wameweka kambi ni kua.. hadi kufikia mda huu, ni yapata siku ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
KIUNGO Thabani Kamusoko na washambuliaji, Mzimbabwe mwenzake, Donald Ngoma na Mrundi Amissi Tambwe wanatarajiwa kuingia kambini leo usiku kuungana na wachezaji wenzao wa Yanga, kujiandaa na mchezo...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Jumamosi October 28, 2017 kitawaka pale uwanja wa Uhuru utakapochezwa mchezo wa ligi kuu Tanzania Yanga vs Simba mzunguko wa nane wa ligi hiyo. kabla ya mechi hiyo kupigwa, kuna takwimu muhimu za...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Willian alifunga bao muhimu la pili huku Chelsea wakisonga mbele na kuingia robo fainali lakini walishangazwa na wageni wao. Chelsea ilikuwa imeitawala Everton kwa urahisi katika kipindi cha...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Soma hii link: Queen Elizabeth II earns $8.8M in horse racing prize money - CNN
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom